Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

Jina la Veronica France sio geni miongoni mwa watu hasa wanaotumia mtandao wa facebook
Amekua akishambulia wanasiasa hasa baada ya kifo cha Hayati John Joseph Pombe Magufuli.

Account imekuwa ikiwashambulia January Makamba ,Nape Nnauye,Ridhwan Kikwete,Mh Jakaya Kikwete,Mange Kimambi kuwa ndo wanaoendesha account ya Kigogo.

Hii hapa story yake aloweka mtandaoni ambayo huenda Mh.Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameona aiongelee.

KIFO CHA MAGUFULI KILIPANGWA!!

Sindano za sumu alipigwa tano maana alipigwa moja akapoteza FAHAMU akapigwa nne mfululizo baada ya masaa 9 akazinduka akawa amechoka hadi kumleta mzena alikuwa taabani hata kuongea hawezi ,aliuliwa kinyama sana yani.

Na hizi sindano za sumu zilipitia Kenya kuingia Tanzania mwezi mmoja baada ya kuanza ziara kutoka Chato kwenda kagera kule sekondari ya ihungo, timu kigogo2014 walijua kila kitu,pia alipuliziwa hewa chafu akiwa Morogoro anazindua kiwanda cha Rostam Azizi pale.

Dkt Janabi ndiye aliyefanya kazi hii kitaalam,mkakati wa kifo chake ulikuwa initiated na team mtandao mzima kuanzia Jakaya Kikwete,Bernad Membe,Rostam Aziz,Mark Mwandosya,lakin vijana wao January Makamba,Ridhiwan Kikwete,Nape Nauye ndio waliokuwa wanavujisha siri hizi kwenda kwa team ya Maria Sarungi,Fatuma Karume,Zitto Kabwe,Tundu Lissu na rejea,hata kabla ya serikali kutangaza kifo cha Magufuli,watu hawa hawa walianza kuhoji nani anayeendesha nchi...

Criminal Investigation report.

Muuwaji😀kt Hussein Janabi.

Organised criminal clue: Jakaya Kikwete,Bernad Membe,Rostam Aziz+wana mtandao.

Mnaweza kutufanya sasa sisi ni wapumbavu,lakin ipo siku isiyo na jina watakuja viongozi wenye akili na wataweka haya yote hadharani..Sisi watanzania machozi yetu hayataenda bure...

By Veronica France🇹🇿
Uchunguzi wowote unaohusu conspiracy ya kifo cha magufuli ni ya kuiacha na kama akipatikana muuaji basi apewe donge nono kwa kazi nzuri aliyoifanya

Kama kweli mnakubaliana na huyu raisi samia kua ni raisi bora bila shaka mtakubaliana na mimi kua bila huyo assassinator huu ubora wake usingeonekana.
 
Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali.

Hili kwangu ni jambo jipya lakini pia ni jambo zuri mno ambalo litawaamsha Whistle blowers waliojificha sasa kujitokeza kuisaidia nchi , lazima ijulikane kwamba , tukiachilia mbali hili la kifo cha Dr Magufuli , ukitaka kufichua mambo mengi machafu , hujuma , wizi na ubadhilifu kwenye nchi hii ni lazima hawa wanaoitwa watu wa mitandaoni watumike , hawa si watu wa mchezo na wana macho darubini inasubiri .

Sasa ngondo iko hapa , Je, watakaoamua kujitokeza kuisaidia nchi yao kama aliyoelekeza Mh Rais waripoti ofisi gani na wamuone nani , Je Usalama wao utalindwaje ?
Kwa nchi za kiafrika sio rahisi sana kufanya hivyo kwani ni kama unacheza karata tatu lkn kwa beberu aah unakunja kwanza mshiko wako ndio unawapa umbea nusu ili nusu wangaike wenyewe kutafuta na unauhakika wa kuishi tena Sio afrika hawatabiriki kabisaaa.
 
Uchunguzi wowote unaohusu conspiracy ya kifo cha magufuli ni ya kuiacha na kama akipatikana muuaji basi apewe donge nono kwa kazi nzuri aliyoifanya

Kama kweli mnakubaliana na huyu raisi samia kua ni raisi bora bila shaka mtakubaliana na mimi kua bila huyo assassinator huu ubora wake usingeonekana.
Dah!!!
 
Aloandika veronica ni kama nyimbo za bongo flavor. Bila shaka huu ndo mpango ulioletwa na watu wa kitengo kupambana na kigogo.
Wamefeli kigogo ni machine kubwa sana
 
Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali.

Hili kwangu ni jambo jipya lakini pia ni jambo zuri mno ambalo litawaamsha Whistle blowers waliojificha sasa kujitokeza kuisaidia nchi , lazima ijulikane kwamba , tukiachilia mbali hili la kifo cha Dr Magufuli , ukitaka kufichua mambo mengi machafu , hujuma , wizi na ubadhilifu kwenye nchi hii ni lazima hawa wanaoitwa watu wa mitandaoni watumike , hawa si watu wa mchezo na wana macho darubini inasubiri .

Sasa ngondo iko hapa , Je, watakaoamua kujitokeza kuisaidia nchi yao kama aliyoelekeza Mh Rais waripoti ofisi gani na wamuone nani , Je Usalama wao utalindwaje ?
Habari maelezo au kituo cha karibu cha polisi
 
Unaripoti Police pale ndo utapewa further information

Back
Top Bottom