Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Degree 3Najiuliza umemaliza shule wewe
Bashite Isome vizuri hiyo post, au rudi darasani ukajifunze topic ya " ufahamu" halafu uje kuchangiaHaya mamneno yako ndiombinu mbadala??.
Tuliza akili weka mbinu mbadala mkuu, kama huna shut the bowl up please.
Unataka kuninunulia vitabu??Unasoma darasa la ngapi wewe kijana??
Jambazi unamsaidia kufananini??Kama polisi anakuja anapiga RAIA asiyekuwa na hatia, ni bora kumsaidia jambazi ampige polisi anayepiga raia.
raia wema wako wap wakati hao ndio waljkimbilia kubeba mkaa wakat watanzania wenzetu wamekufa. Achen UK.. MaDaah kwahiyo wanamalizia Hasira zao kwa raia wema?
Sasa hapo ni kuongeza chuki na raia wema hawatawasaidia polisi kama wataendelea na uonevu huo, badala yake watawasaidia majambazi!
Kuna watanzania ni wapumbavu sana jamani.Hata ningekuwa mimi ningewatandika fimbo. Chukulia mfano lile tukio la mauaji ya watu wa maliasili, maiti zipo chini halafu wao wanakimbilia kugawana mkaa na muuaji wapo naye wanamuangalia tu.
Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana kweupe.. na kulazimishwa kulala saa kumi na moja jioni
Wakazi hao na watanzania kiujumla hatujatangaziwa kwa nini mauaji haya yaendelee either kwa sababu za kiusalama au vinginevyo ila kinachoshangaza ni hii strategy ya kisasa kabisa yakuchezesha raia fimbo
Kwa mujibu wa shuhuda wa macho wanasema waliokua wanapigwa ni akina mama wenye watoto,vijana,na yeyote yule ambae alikua anakutwa na polisi etc, sababu iliyosababisha kukimbia vijiji kwa muda na walipohoji hawakupata majibu
Katika vipigo hivyo heavy inasemekana wengine imewalazumu kujiuguza maumivu ma hospitalini au ku survive na panadol(pain killers)
Kitu ambacho labda tunapaswa kujiuliza kwa mbinu hii je hawa raia wataleta tena ushirikiano wakutoa taarifa za siri kwa polisi? Perception yao itakuaje kwa jeshi la polisi?wataona utofauti wowote kati ya jeshi la polisi na hao wanajambazi wanaosakwa?au mbinu hii ya ku sideline moja kwa moja raia katika mapambano haya ndio imekua suluhisho pekee?
Ni muda sasa wa jeshi la polisi kufanyiwa reform kwani tumerithi mbinu za kikoloni katika utendaji kazi wake
Wawape pipi au soda?KAMA HAWAJUI WASEME NINI!!,? ILA WAKITUMIA USHAWISHI WANAWEZA PATA TAARIFA NYINGI IWAPO WANAZO BADALA YA MIKALAMBATI
Kila kitu kinaanza kama Uhongo hata zile pesa za Escrow mlisema ni Uhongo na ya Lugumi mlisema ni Uhongo ni kawaida ya watanzania kukataa ukweli
Mrs DAB kama kawaida yako