Tetesi: Watu wa Mkuranga wanalalamika kupigwa na Polisi

Tetesi: Watu wa Mkuranga wanalalamika kupigwa na Polisi

TPDF - Tanzania people defending force" ungekuwa umeelewa maana hiyo hapo juu usingeniuliza , ila mungu akusamehe si kosa lako kutokwenda shule
Mkuu kirefu cha TPDF ni Tanzania's People Defence Force au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
 
Wapigwe tu maana hakuna namna tena. Anayekutwa na mfupa ndiyo Kala nyama.
 
Hii kitu mm leo imenikumba ila mm sikupigwa ila wanacho fanya police wetu si haki ata kidogo kwa raia maana pale walipoweka check point pamekua na hofu tupo asa watapata vip taarifa kama raia wenyewe mnawatisha wanakua wakali watemi wapunguze ubabe ili kazi iwe rais kuwapata awo waarifu lakin kwa mtindo ule watakamata wakulima wakiwa wanatoka shamba na mapanga na mjembe alafu wataambiwa waarifu
Rais - rahisi
Waarifu - wahalifu
 
TPDF - Tanzania people defending force" ungekuwa umeelewa maana hiyo hapo juu usingeniuliza , ila mungu akusamehe si kosa lako kutokwenda shule
***
haupo sahihi..!,na hiyo shule ulioenda ni bure kabisa.
•Serekali ilipaswa kupeleka genius intellegeny kwa wiki 2-3,ili kukolect data and hidden Info's on that issue /
ok let waits..
Using forces huwa na mahala pake....!
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109] lakin si icho wanachofanya sasa nikuongeza hofu kwa RAIA
 
Waweke askari wa siri kukaa na Raia na kupata information za majangili ,hii itasaidia sio kuwapiga Raia.
 
Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana kweupe.. na kulazimishwa kulala saa kumi na moja jioni

Wakazi hao na watanzania kiujumla hatujatangaziwa kwa nini mauaji haya yaendelee either kwa sababu za kiusalama au vinginevyo ila kinachoshangaza ni hii strategy ya kisasa kabisa yakuchezesha raia fimbo
Kwa mujibu wa shuhuda wa macho wanasema waliokua wanapigwa ni akina mama wenye watoto,vijana,na yeyote yule ambae alikua anakutwa na polisi etc, sababu iliyosababisha kukimbia vijiji kwa muda na walipohoji hawakupata majibu
Katika vipigo hivyo heavy inasemekana wengine imewalazumu kujiuguza maumivu ma hospitalini au ku survive na panadol(pain killers)
Kitu ambacho labda tunapaswa kujiuliza kwa mbinu hii je hawa raia wataleta tena ushirikiano wakutoa taarifa za siri kwa polisi? Perception yao itakuaje kwa jeshi la polisi?wataona utofauti wowote kati ya jeshi la polisi na hao wanajambazi wanaosakwa?au mbinu hii ya ku sideline moja kwa moja raia katika mapambano haya ndio imekua suluhisho pekee?

Ni muda sasa wa jeshi la polisi kufanyiwa reform kwani tumerithi mbinu za kikoloni katika utendaji kazi wake
Hawajatoa ushirikiano ndo maana wanadundwa. Kumbukeni mhalifu huwa hatoki mbali na tukio na kama wapo watatoka mbali basi mwenyeji lazima awepo. Na haiwezekani wenyeji wasiwajue wahalifu.
 
Hawajatoa ushirikiano ndo maana wanadundwa. Kumbukeni mhalifu huwa hatoki mbali na tukio na kama wapo watatoka mbali basi mwenyeji lazima awepo. Na haiwezekani wenyeji wasiwajue wahalifu.
***
specialist wa aina hii kwa vyovyote sio mkazi wa hapo / possibly ni mtu anayekwenda hapo kwa uovu huo na baadae kuondoka kurudi kwake oystebay..!,jaribu kufikiri kwa kina staili anayotumia huyu lazima atakuwa mbobezi mno./
PIA INGELIKUWA NI VYEMA WANANCHI WA ENEO HILO WAKAFUNDWA HASA JINSI YA KUTOA TAARIFA HARAKA MARA WAMWONAPO MGENI WASIYEMFAKAMU WA AINA YOYOTE ILE.
 
Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana kweupe.. na kulazimishwa kulala saa kumi na moja jioni

Wakazi hao na watanzania kiujumla hatujatangaziwa kwa nini mauaji haya yaendelee either kwa sababu za kiusalama au vinginevyo ila kinachoshangaza ni hii strategy ya kisasa kabisa yakuchezesha raia fimbo
Kwa mujibu wa shuhuda wa macho wanasema waliokua wanapigwa ni akina mama wenye watoto,vijana,na yeyote yule ambae alikua anakutwa na polisi etc, sababu iliyosababisha kukimbia vijiji kwa muda na walipohoji hawakupata majibu
Katika vipigo hivyo heavy inasemekana wengine imewalazumu kujiuguza maumivu ma hospitalini au ku survive na panadol(pain killers)
Kitu ambacho labda tunapaswa kujiuliza kwa mbinu hii je hawa raia wataleta tena ushirikiano wakutoa taarifa za siri kwa polisi? Perception yao itakuaje kwa jeshi la polisi?wataona utofauti wowote kati ya jeshi la polisi na hao wanajambazi wanaosakwa?au mbinu hii ya ku sideline moja kwa moja raia katika mapambano haya ndio imekua suluhisho pekee?

Ni muda sasa wa jeshi la polisi kufanyiwa reform kwani tumerithi mbinu za kikoloni katika utendaji kazi wake
Mh yani tanzania.hii... daily matukio yasiyo na. Weledi kwa watu wenye profesional.... kitengo. Cha upelelezi.,usalama, vyote vmeshindwa shirikiana... kuwatambua waharifu.. hadi wanaanza kuwasumbua wananchi wasiokua na hatia...is not fair. Kwa vyombo vya usalama.... tutumie weledi na profesional zetu kwenye kazi.. na ci kukurupuka.... thanks.
 
Mkuu weka mbinu mbadala hapa tofauti nahiyo ya kuwatisha iliwatoetaarifa za wahalifu.
Wasipo wafichua wahalifu watakuwa wanawasaidia police kilamara, wasisubiri kufundishwa jinsi ya kuisaidia police.
Wawe wazalendo tu hakuna namna.
Huku hawajafa polisi tu .wamekufa wenyeviti wa vitongoji na vijiji.yaaani RAIA wanaishi kwa taharuki kuwaogopa Hawa wauaji.sasa wanachofanya polisi ni kuwapiga wenzao wanaoishi kwa taharuki pia kama wao.watu wamevunjwa mikono,wameporwa Mali zao,simu pesa nk.zimevunjwa meza na samaki ,yamemwagwa maandazi .yaaani mambo taflani
 
Nimepita maeneo yote Leo hakuna unyama uliofanywa wa kupigwa kwa Wilaya ya Mkuranga.

Ila kwa Bungu na Jaribu Mpakani kama ulikwenda kinyume na utaratibu zilizotangazwa na Jeshi la Polisi kweli walishughulikiwa.

Ila kiukweli kumetulia sana Karibu njia yote huyo mpaka Kibiti
hahaha
 
Back
Top Bottom