Mkuu kirefu cha TPDF ni Tanzania's People Defence Force au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)TPDF - Tanzania people defending force" ungekuwa umeelewa maana hiyo hapo juu usingeniuliza , ila mungu akusamehe si kosa lako kutokwenda shule
Rais - rahisiHii kitu mm leo imenikumba ila mm sikupigwa ila wanacho fanya police wetu si haki ata kidogo kwa raia maana pale walipoweka check point pamekua na hofu tupo asa watapata vip taarifa kama raia wenyewe mnawatisha wanakua wakali watemi wapunguze ubabe ili kazi iwe rais kuwapata awo waarifu lakin kwa mtindo ule watakamata wakulima wakiwa wanatoka shamba na mapanga na mjembe alafu wataambiwa waarifu
***TPDF - Tanzania people defending force" ungekuwa umeelewa maana hiyo hapo juu usingeniuliza , ila mungu akusamehe si kosa lako kutokwenda shule
[emoji109] [emoji109] [emoji109] lakin si icho wanachofanya sasa nikuongeza hofu kwa RAIA***
haupo sahihi..!,na hiyo shule ulioenda ni bure kabisa.
•Serekali ilipaswa kupeleka genius intellegeny kwa wiki 2-3,ili kukolect data and hidden Info's on that issue /
ok let waits..
Using forces huwa na mahala pake....!
Hawajatoa ushirikiano ndo maana wanadundwa. Kumbukeni mhalifu huwa hatoki mbali na tukio na kama wapo watatoka mbali basi mwenyeji lazima awepo. Na haiwezekani wenyeji wasiwajue wahalifu.Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana kweupe.. na kulazimishwa kulala saa kumi na moja jioni
Wakazi hao na watanzania kiujumla hatujatangaziwa kwa nini mauaji haya yaendelee either kwa sababu za kiusalama au vinginevyo ila kinachoshangaza ni hii strategy ya kisasa kabisa yakuchezesha raia fimbo
Kwa mujibu wa shuhuda wa macho wanasema waliokua wanapigwa ni akina mama wenye watoto,vijana,na yeyote yule ambae alikua anakutwa na polisi etc, sababu iliyosababisha kukimbia vijiji kwa muda na walipohoji hawakupata majibu
Katika vipigo hivyo heavy inasemekana wengine imewalazumu kujiuguza maumivu ma hospitalini au ku survive na panadol(pain killers)
Kitu ambacho labda tunapaswa kujiuliza kwa mbinu hii je hawa raia wataleta tena ushirikiano wakutoa taarifa za siri kwa polisi? Perception yao itakuaje kwa jeshi la polisi?wataona utofauti wowote kati ya jeshi la polisi na hao wanajambazi wanaosakwa?au mbinu hii ya ku sideline moja kwa moja raia katika mapambano haya ndio imekua suluhisho pekee?
Ni muda sasa wa jeshi la polisi kufanyiwa reform kwani tumerithi mbinu za kikoloni katika utendaji kazi wake
Mrs DAB kama hujaelewa vunga,ila shemela hajambooSijakuelewa unamuongelea nani.
Hapana huna uwezo WA kumiliki Wala kutumia vitabu labda nikununulie PENSELI uwe unachorachora wadudu!Unataka kuninunulia vitabu??
***Hawajatoa ushirikiano ndo maana wanadundwa. Kumbukeni mhalifu huwa hatoki mbali na tukio na kama wapo watatoka mbali basi mwenyeji lazima awepo. Na haiwezekani wenyeji wasiwajue wahalifu.
Ngoja tuishie hapa, wewe una akili kuliko mimi.Bashite Isome vizuri hiyo post, au rudi darasani ukajifunze topic ya " ufahamu" halafu uje kuchangia
Mh yani tanzania.hii... daily matukio yasiyo na. Weledi kwa watu wenye profesional.... kitengo. Cha upelelezi.,usalama, vyote vmeshindwa shirikiana... kuwatambua waharifu.. hadi wanaanza kuwasumbua wananchi wasiokua na hatia...is not fair. Kwa vyombo vya usalama.... tutumie weledi na profesional zetu kwenye kazi.. na ci kukurupuka.... thanks.Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana kweupe.. na kulazimishwa kulala saa kumi na moja jioni
Wakazi hao na watanzania kiujumla hatujatangaziwa kwa nini mauaji haya yaendelee either kwa sababu za kiusalama au vinginevyo ila kinachoshangaza ni hii strategy ya kisasa kabisa yakuchezesha raia fimbo
Kwa mujibu wa shuhuda wa macho wanasema waliokua wanapigwa ni akina mama wenye watoto,vijana,na yeyote yule ambae alikua anakutwa na polisi etc, sababu iliyosababisha kukimbia vijiji kwa muda na walipohoji hawakupata majibu
Katika vipigo hivyo heavy inasemekana wengine imewalazumu kujiuguza maumivu ma hospitalini au ku survive na panadol(pain killers)
Kitu ambacho labda tunapaswa kujiuliza kwa mbinu hii je hawa raia wataleta tena ushirikiano wakutoa taarifa za siri kwa polisi? Perception yao itakuaje kwa jeshi la polisi?wataona utofauti wowote kati ya jeshi la polisi na hao wanajambazi wanaosakwa?au mbinu hii ya ku sideline moja kwa moja raia katika mapambano haya ndio imekua suluhisho pekee?
Ni muda sasa wa jeshi la polisi kufanyiwa reform kwani tumerithi mbinu za kikoloni katika utendaji kazi wake
Huku hawajafa polisi tu .wamekufa wenyeviti wa vitongoji na vijiji.yaaani RAIA wanaishi kwa taharuki kuwaogopa Hawa wauaji.sasa wanachofanya polisi ni kuwapiga wenzao wanaoishi kwa taharuki pia kama wao.watu wamevunjwa mikono,wameporwa Mali zao,simu pesa nk.zimevunjwa meza na samaki ,yamemwagwa maandazi .yaaani mambo taflaniMkuu weka mbinu mbadala hapa tofauti nahiyo ya kuwatisha iliwatoetaarifa za wahalifu.
Wasipo wafichua wahalifu watakuwa wanawasaidia police kilamara, wasisubiri kufundishwa jinsi ya kuisaidia police.
Wawe wazalendo tu hakuna namna.
hahahaNimepita maeneo yote Leo hakuna unyama uliofanywa wa kupigwa kwa Wilaya ya Mkuranga.
Ila kwa Bungu na Jaribu Mpakani kama ulikwenda kinyume na utaratibu zilizotangazwa na Jeshi la Polisi kweli walishughulikiwa.
Ila kiukweli kumetulia sana Karibu njia yote huyo mpaka Kibiti