FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Photography interpreter umetishaAmepanua sketi ili uhalisia usionekane, ila ukichunguza vizuri unaona kivuli vizuri kikionesha alivyo.
Hana vigezo.
Hakuna Kiongozi Ndezi Kama Lubeleje, Sijaona Cha Maana Alichofanya Zaidi Ya Kukalia Viti Bungeni Mpaka Vimepauka,Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge
Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa
Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu
Instagram:kaukwaju
Vipi una ubia na ubunge wake akiupata?Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge
Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa
Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu
Instagram:kaukwaju
CCMChama gani huyu ?
Ni kwa manufaa ya watu wa Mpwapwa Ila Mimi nitamkosoa akikosea kuliko kama angejiinua mwenyewe angekuwa kiburi hata kustaafu angegoma ikiwa watamtakaVipi una ubia na ubunge wake akiupata?
Wewe siasa za Mpwapwa huzijui! Siasa za Mpwapwa unaleta Jf, you keep dreamingMh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge
Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa
Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu
Instagram:kaukwaju
Nimeshafika mpaka Riti kutambika na nimenawa maji ya chemchem Riti yasiyo kauka hivyo Nina baraka zote za Wanampwapwa,wewe umeshafika Riti?Wewe siasa za Mpwapwa huzijui! Siasa za Mpwapwa unaleta Jf, you keep dreaming
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]N
Nimeshafika mpaka Riti kutambika na nimenawa maji ya chemchem Riti yasiyo kauka hivyo Nina baraka zote za Wanampwapwa,wewe umeshafika Riti?
Sasa uende na LITI maana hiyo Riti sijui iko wapi!! Get there soon, maana wenzio wanaenda kwenye grass roots wewe unapoteza muda kwenda kunawa!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]N
Nimeshafika mpaka Riti kutambika na nimenawa maji ya chemchem Riti yasiyo kauka hivyo Nina baraka zote za Wanampwapwa,wewe umeshafika Riti?
Hakuna Kiongozi Ndezi Kama Lubeleje, Sijaona Cha Maana Alichofanya Zaidi Ya Kukalia Viti Bungeni Mpaka Vimepauka,
Mpwapwa Ni Wilaya Iliyotakiwa Kuwa Na Lami Kitambo Sana Ila Cha Ajabu Wameweka Kipande Cha Kilometer Moja Kutoka TTC Mpaka Idara Ya Maji.
Yule Mbunge Ni Aibu Kubwa Sana
Wagogo Mnisamehe Lakini Ni Moja Ya Viumbe Ndezi Kuwahi Kuwepo Mshukuru Serikali Kuhamia Dodoma Vinginevyo Mngekuwa Mnakula Uji Wa Ubuyu Na Nyumba Za Udongo Mpaka Ujio Wa Masiha. Badilikeni Loh!