Uchaguzi 2020 Watu wa Mpwapwa baada ya George Lubeleje kustaafu siasa 2020, mtu sahihi kwenu kuwa mbunge ni Betty Baharia

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge

Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa

Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu

IMG_20180901_091117_623.jpg
 
Kwan kapitia changamoto zipi? Na anafaa kwa sababu kapitia changamoto nyng? Au kuna kingine?
 
Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge

Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa

Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu

Instagram:kaukwaju
Hakuna Kiongozi Ndezi Kama Lubeleje, Sijaona Cha Maana Alichofanya Zaidi Ya Kukalia Viti Bungeni Mpaka Vimepauka,
Mpwapwa Ni Wilaya Iliyotakiwa Kuwa Na Lami Kitambo Sana Ila Cha Ajabu Wameweka Kipande Cha Kilometer Moja Kutoka TTC Mpaka Idara Ya Maji.

Yule Mbunge Ni Aibu Kubwa Sana
Wagogo Mnisamehe Lakini Ni Moja Ya Viumbe Ndezi Kuwahi Kuwepo Mshukuru Serikali Kuhamia Dodoma Vinginevyo Mngekuwa Mnakula Uji Wa Ubuyu Na Nyumba Za Udongo Mpaka Ujio Wa Masiha. Badilikeni Loh!
 
Vipi una ubia na ubunge wake akiupata?
 
Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge

Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa

Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu

Instagram:kaukwaju
Wewe siasa za Mpwapwa huzijui! Siasa za Mpwapwa unaleta Jf, you keep dreaming
 
Kwanza huyo lubeleje ni kati ya wabunge hovyo kabisa wa ccm ninaowafaham. Ni bora hata ungemsema mbunge wa hapo jiraniyenu kibakwe anajitahidi kidogo.

Kusema lubeleje kaifanyia mengi mpwampwa huo ni uongo uliopingukia. Ushauriwangu wanampwampwa ikifika 2020 tafuteni mbungu wa kuwaletea maendeleo msirubuliwe na vimsaada vya sado la mahindi.
 
N
Nimeshafika mpaka Riti kutambika na nimenawa maji ya chemchem Riti yasiyo kauka hivyo Nina baraka zote za Wanampwapwa,wewe umeshafika Riti?
Sasa uende na LITI maana hiyo Riti sijui iko wapi!! Get there soon, maana wenzio wanaenda kwenye grass roots wewe unapoteza muda kwenda kunawa!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hakuna Kiongozi Ndezi Kama Lubeleje, Sijaona Cha Maana Alichofanya Zaidi Ya Kukalia Viti Bungeni Mpaka Vimepauka,
Mpwapwa Ni Wilaya Iliyotakiwa Kuwa Na Lami Kitambo Sana Ila Cha Ajabu Wameweka Kipande Cha Kilometer Moja Kutoka TTC Mpaka Idara Ya Maji.

Yule Mbunge Ni Aibu Kubwa Sana
Wagogo Mnisamehe Lakini Ni Moja Ya Viumbe Ndezi Kuwahi Kuwepo Mshukuru Serikali Kuhamia Dodoma Vinginevyo Mngekuwa Mnakula Uji Wa Ubuyu Na Nyumba Za Udongo Mpaka Ujio Wa Masiha. Badilikeni Loh!

Yule mzee ni shida, halafu wenyewe si walimtoa kisha wakaja kumrudisha tena. Maana kuna kioindi mzee alichoka sana kimaisha kiasi angechizika.
Naona kuna kijana wao wanamuandaa sasa anaitwa Ngowi.
 
Back
Top Bottom