Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,308
Acha Tu Mkuu,Yule mzee ni shida, halafu wenyewe si walimtoa kisha wakaja kumrudisha tena. Maana kuna kioindi mzee alichoka sana kimaisha kiasi angechizika.
Naona kuna kijana wao wanamuandaa sasa anaitwa Ngowi.
Yaani Hawa Watu, Joab Ndugai, Lubeleje Na Simbachawene Walishindwa Kuunganisha Lami Ya Kutoka Mpwapwa Mpaka Mbande Kupitia Kongwa Kweli?
Bila Uwepo Wa Wachaga Hapo Mpwapwa Ambao Ndio Wafanyabiashara Wakubwa Kusingekuwepo Na Maendeleo Yaliyopo Saivi. Shame On Voters.