Uchaguzi 2020 Watu wa Mpwapwa baada ya George Lubeleje kustaafu siasa 2020, mtu sahihi kwenu kuwa mbunge ni Betty Baharia

Yule mzee ni shida, halafu wenyewe si walimtoa kisha wakaja kumrudisha tena. Maana kuna kioindi mzee alichoka sana kimaisha kiasi angechizika.
Naona kuna kijana wao wanamuandaa sasa anaitwa Ngowi.
Acha Tu Mkuu,
Yaani Hawa Watu, Joab Ndugai, Lubeleje Na Simbachawene Walishindwa Kuunganisha Lami Ya Kutoka Mpwapwa Mpaka Mbande Kupitia Kongwa Kweli?

Bila Uwepo Wa Wachaga Hapo Mpwapwa Ambao Ndio Wafanyabiashara Wakubwa Kusingekuwepo Na Maendeleo Yaliyopo Saivi. Shame On Voters.
 
Hawezi kuwa bora kama Baharia nakwambia huyu akikosea tunamwambia achana na wabunge wanaoogopwa kukosolewa na ambao ni chaguo La mtu tunataka chaguo LA Mungu na mtu mwenye hofu ya Mungu
 
Wakina Kimambo ha
Acha Tu Mkuu,
Yaani Hawa Watu, Joab Ndugai, Lubeleje Na Simbachawene Walishindwa Kuunganisha Lami Ya Kutoka Mpwapwa Mpaka Mbande Kupitia Kongwa Kweli?

Bila Uwepo Wa Wachaga Hapo Mpwapwa Ambao Ndio Wafanyabiashara Wakubwa Kusingekuwepo Na Maendeleo Yaliyopo Saivi. Shame On Voters.
Wakina Kimambo hahah
 
Hakuna Kiongozi Ndezi Kama Lubeleje, Sijaona Cha Maana Alichofanya Zaidi Ya Kukalia Viti Bungeni Mpaka Vimepauka,
Mpwapwa Ni Wilaya Iliyotakiwa Kuwa Na Lami Kitambo Sana Ila Cha Ajabu Wameweka Kipande Cha Kilometer Moja Kutoka TTC Mpaka Idara Ya Maji.

Yule Mbunge Ni Aibu Kubwa Sana
Wagogo Mnisamehe Lakini Ni Moja Ya Viumbe Ndezi Kuwahi Kuwepo Mshukuru Serikali Kuhamia Dodoma Vinginevyo Mngekuwa Mnakula Uji Wa Ubuyu Na Nyumba Za Udongo Mpaka Ujio Wa Masiha. Badilikeni Loh!
Mura usiwatukane wajomba zangu!!!, ila wajomba noma kweli "charumba muwaha" ni raia wepesi mno kuongoza.Huku kanda maalumu kila mtu mjuaji, tungekuwa tushamzika longtime kisiasa.Big up kwa akina uncle!!!!!
 
The mpwapwa i know? Mmh huyo mzee labda aamue mwenyewe,anajua kucheza na njaa za wagogo! Ccm inashinda huko asilimia 95 kwenda juu! Kuna haja ya kufanya maendeleo? Chamtumile,chunyu,gomhungile,LITI Na kwingine kupo vilevile tuu!
 
Mura usiwatukane wajomba zangu!!!, ila wajomba noma kweli "charumba muwaha" ni raia wepesi mno kuongoza.Huku kanda maalumu kila mtu mjuaji, tungekuwa tushamzika longtime kisiasa.Big up kwa akina uncle!!!!!
Ha ha ha!
Unafaa Kuwa Kiongozi Wao Mkuu!
Fanya Kuvuta Form 2020.
 
Hauko serious aisee.. Sio kwa picha hiyo uliyoweka..
CCM hairuhusiwi kuanza kampeni kabla ya Chama kuruhusu.Chadema Ruksa kufanya kampeni Sababu Lowasa alishajitangaza mgombea uraisi 2020.Hamia Chadema wanakoanza kampeni kabla ya Chama kupiga filimbi ya anza
 
Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge

Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa

Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu

View attachment 865065

Instagram:kaukwaju
Huyu hatufai
 
Wewe unataka ubunge halafu unaweka picha yenye mwelekeo wa uhuni...are you serious? Hivi unadhani wapiga kura wote ni wa design hiyo??!!
 
Yule mzee ni shida, halafu wenyewe si walimtoa kisha wakaja kumrudisha tena. Maana kuna kioindi mzee alichoka sana kimaisha kiasi angechizika.
Naona kuna kijana wao wanamuandaa sasa anaitwa Ngowi.
Yule mzee ni shida, halafu wenyewe si walimtoa kisha wakaja kumrudisha tena. Maana kuna kioindi mzee alichoka sana kimaisha kiasi angechizika.
Naona kuna kijana wao wanamuandaa sasa anaitwa Ngowi.
 
Kidemu chako ndio unakitanguliza mbele

USSR
Mh.Lubeleje kaifanyia mengi Mpwapwa nimemjua tangu mwaka 2004 miaka kumi na NNE iliyopita akiwa mbunge

Ikiwa ataamua kustaafu kwa hiari yake basi mtu sahihi kukalia nafasi hiyo ni mtoto wenu anaejua shida zenu aliepitia changamoto zote Betty Baharia,damu changa kabisa

Anzeni kumpika ktk siasa,I rafiki wa kila mtu hana ukabila na aliesoma ktk shule zenu

View attachment 865065

Instagram:kaukwaju

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Tu Mkuu,
Yaani Hawa Watu, Joab Ndugai, Lubeleje Na Simbachawene Walishindwa Kuunganisha Lami Ya Kutoka Mpwapwa Mpaka Mbande Kupitia Kongwa Kweli?

Bila Uwepo Wa Wachaga Hapo Mpwapwa Ambao Ndio Wafanyabiashara Wakubwa Kusingekuwepo Na Maendeleo Yaliyopo Saivi. Shame On Voters.
Mpwapwa hiyo. Fukuza wachaga wote. Uone hali itakavyokua ngumu kwa wazawa. Inashangaza sana usafiri wa kutoka mpwapwa to Dodoma amehodhi mchaga mmoja tuu. Yeye ndo anapanga wagogo waende dodoma mda gani na kwa nauli gani. Wagogo nani aliwalogaa?!?? Hv siku LEKIME+ KIMAMBO+ SENGIA na wenzao wakiihama mpwapwa c mtakufa nyiee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom