Ccm wanataka amani lakini hawataki HAKI, sijui wamerogwa hawa watu.Isaya 32:17 Nanukuu
"Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele."
Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE.
cc:NEC
MBARIKIWE