J JERRY JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 630 Reaction score 504 Oct 25, 2020 #1 Isaya 32:17 Nanukuu"Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE
Isaya 32:17 Nanukuu"Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,951 Oct 25, 2020 #2 ...na Haki huinua Taifa!
P Professor mjinga Member Joined Oct 24, 2020 Posts 72 Reaction score 50 Oct 25, 2020 #3 Na wasio kuwa na dini
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,728 Reaction score 49,762 Oct 25, 2020 #4 Kama bwana yule alitaka kumtoa roho mwenzake kisa tu anajua kuitumia haki yake ya kutoa maoni kwa ubora zaidi unadhani Haki anaipenda?
Kama bwana yule alitaka kumtoa roho mwenzake kisa tu anajua kuitumia haki yake ya kutoa maoni kwa ubora zaidi unadhani Haki anaipenda?
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Oct 25, 2020 #5 JERRY said: Isaya 32:17 Nanukuu"Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE Click to expand... Ccm wanataka amani lakini hawataki HAKI, sijui wamerogwa hawa watu.
JERRY said: Isaya 32:17 Nanukuu"Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE Click to expand... Ccm wanataka amani lakini hawataki HAKI, sijui wamerogwa hawa watu.