Pre GE2025 Watu wa mwambao wana utamuduni wao, hakuna shaka watamchagua Mama samia kiti cha Urais. Kwa nafasi ya Wabunge...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa fikira na maoni yangu mimi naamini upinzani ni rahisi zaidi kumwangusha Samia kama wataweka mtu strong na kama nchi tukifanikiwa kuzuia wizi wa kura. Wabunge wengi wa ccm wanazo wanazo base na Kwa hivyo wengi wanaweza kushinda lakini siyo Samia.
CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.
 
Bado hujaweka bayana huo utamaduni ndio upi?
Hahaha

Moja ya jambo muhimu ktk utamaduni wa watu wa mwambao ni kuchanganya kila kitu ktk mwili mmoja. Kama misipa ya damu ktk mwili ilivyojichanganya.

They simple believe on intergration, Not segregation kati ya serikali, dini, elimu, afya, uchumi. Fedha, uongozi nk.

Kwa kuzingatia hilo; na kuelekea ktk uchaguzi mkuu hakuna unaishi watamkumbatia mama Samia kwasasa ananielewa vema tamaduni hizo. Nao wanamuelewa
 
ila nchi hii kuwa raisi wa Pwani tuwe makini nalo. ni wadhaifu sana ktk kulinda Raslimali za Nchi.

Nadhani suluhisho la kudumu ni kuwa na utawala wa kanda wenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Ili wamasai wajiamulie mambo yao bila kuingiliwa na wakanda ingine, wasuluma wafanye maamuzi kwa dhahabu zao bila kuingilia na kanda nyingine.

Wa mwambao wafanye maamuzi ya rasilimali zao kama bandari, gesi bila wa kanda nyingine kushupalia.

Tuungane pwa sarafu tu kama ulivyo mfumo wa serikali za kanda kwa taifa la uswiss

Kama tunakubaliana hili basi tupeleke nguvu zetu ili tupate wabunge wengi wa upinzani.

Na kwa vile mama Samia ni muathirika wa maamuzi ya dodoma dhidi ya znz hili kukikubaluana na kumuachia nafasi ya urais yeye inasimamia uchaguzi wa haki. Na kwa hali halisi uchaguzi ukiwa wa haki wabunge na madiwani wengi wa ccm wataanguka
 
shida kubwa iko katika sera zainazosimamia habari na uandishi (sekta ya habari kwa ujumla) lakini pia ni umahiri wa sanaa na "tamaduni" zetu.
kiufupi sera za nchini kwetu ukiziangalia utagundua hazina mpango wala shabaha ya kuinua na kuleta utaifa kubwa zaidi hazijali wananchi bali zimejikita katika kuilinda na kuwalinda serikali na watawala nakuweka tabaka katika taifa letu.
Uko sahihi sana
 
Siasa za udini na ukabila zimepitwa na wakati. Watu wanatakiwa kupiga kura kwa kuangalia hoja.

Zaidi, watu wa mwambao wote hawafanani.
udini ni nini, ukabila ni nini.

Hivi ni sawa kufanya uteuzi wa 85% ya tabaka moja tu tokea uhuru. Kwa hoja dhaifu kuwa jamii nyingine hazina weledi, hawana hoja za ushawishi,

Kwa hili watu wa mwambao wametoka usingizini
 
Nadhani suluhisho la kudumu ni kuwa na utawala wa kanda wenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Ili wamasai wajiamulie mambo yao bila kuingiliwa na wakanda ingine, wasuluma wafanye maamuzi kwa dhahabu zao bila kuingilia na kanda nyingine.

Wa mwambao wafanye maamuzi ya rasilimali zao kama bandari, gesi bila wa kanda nyingine kushupalia.

Tuungane pwa sarafu tu kama ulivyo mfumo wa serikali za kanda kwa taifa la uswiss

Kama tunakubaliana hili basi tupeleke nguvu zetu ili tupate wabunge wengi wa upinzani.

Na kwa vile mama Samia ni muathirika wa maamuzi ya dodoma dhidi ya znz hili kukikubaluana na kumuachia nafasi ya urais yeye inasimamia uchaguzi wa haki. Na kwa hali halisi uchaguzi ukiwa wa haki wabunge na madiwani wengi wa ccm wataanguka
Uongo, suluhisho sahihi zaidi lililo la kudumu ni kupata Katiba ya nchi ambayo ni nzuri, Katiba nzuri ambayo itaunda Serikali ambayo lazima iwe na sifa hizi:-
1. Serikali ya Kidemokrasia.
2. Serikali inayowajibika kwa Wananchi wake.
 
Katiba hiyo iko dunia gn kwa mfano. Ambapo kupitia katiba hiyo jamii ukiweza kubadilika na kuwa na ustawi na maendeleo endelevu.

Nikuulize tena wewe una fikra na kuwa ni mpambanaji wa katiba bora kama wakenya.

Sasa wana katiba bora kuliko hata Japan, kuliko hata china, kuliko hata Louisiana.

Lkn nenda huko ukajionee utofauti.

Kwa uoni wangu tz ni kubwa sana. Kwa wastani kuongozwa na rais mmoja haitiweza kupaa.

Lkn kubwa zaidi watu wanataka space. Kwa hivyo suluhisho ni Serikali ya kanda zenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
 
udini ni nini, ukabila ni nini.

Hivi ni sawa kufanya uteuzi wa 85% ya tabaka moja tu tokea uhuru. Kwa hoja dhaifu kuwa jamii nyingine hazina weledi, hawana hoja za ushawishi,

Kwa hili watu wa mwambao wametoka usingizini
This logical fallacy is called logical non sequitur.

Wapi nimetetea teuzi yoyote?
 
Katiba hiyo iko dunia gn kwa mfano. Ambapo kupitia katiba hiyo jamii ukiweza kubadilika na kuwa na ustawi na maendeleo endelevu.

Nikuulize tena wewe una fikra na kuwa ni mpambanaji wa katiba bora kama wakenya.

Sasa wana katiba bora kuliko hata Japan, kuliko hata china, kuliko hata Louisiana.

Lkn nenda huko ukajionee utofauti.

Kwa uoni wangu tz ni kubwa sana. Kwa wastani kuongozwa na rais mmoja haitiweza kupaa.

Lkn kubwa zaidi watu wanataka space. Kwa hivyo suluhisho ni Serikali ya kanda zenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
hoja ya ko ina mashiko kiasi Fulani, tukumbuke hizi kanda zika zaidi ya maina ya kanda na mike, namaanisha ni ktk utamaduni na tibia za watu wao zinalandana achilia mbali hali ya kijiografia ambayo huendna na rasilimali ardhi na nyinginezo. hivyo basi ikitokea watu hawa kuweza kujitawala itakuw rahisi na vyepesi sana wao kumaliza migogoro yao ikiwa hawatoingiliwa na ikitokea ikidumu kwa muda tofauti zao a ndani wataweza kuishi nazo wakilenga ustawi wao kuliko sasa ambapo ukanda na tabaka fulanai wanaana kuhisi ubora wao dhidi ya wenzao kitu ambacho kwa mfumo wa utawala wa sasa haina madhara chanya!
lakini hiyo haitatuota hapa tulipo bali itatudidimiza zaidi kwani kila mmoja atadai fidia ya alichozalisha wakati wote wa serikali moja , pia mikataba iliyoingiwa na serikali ya umoja (ya sasa) inatekelezwa ktk kanda hivyo kuleta athari katika seka nzima ya uwekezaji na kuitia serikali ya jamuuhuri katika madeni na migogoro ya kiuchumi zaidi kuliko kuisaidia.
political unrest/instability
; nikitumia misamiati hiyo itakuwa rahisi kueleweka kwani migogoro ya baadhi kudai jasho lao haitoisha na itaiumiza serikali ya jamuhuri, ktk kudai hayo ndipo ugumu ktk utawala na hali ya kisisasa haitoimarika.
naomba kuwasilisha
 
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao.

Musiwapangie sawa na utamaduni wenu.

Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais.

Yaani haijalishi. Jambo lolote litalofanywa na watendaji wa Serikali litakaloumiza hisia za Waislam kwa kipindi hili; watu hawa wataibuka na kusema msitugombanishe na Rais wetu, mama yetu na tunampenda.

Utafiti nilioufanya chadema ina nafasi kubwa ya kutoa viti vya ubunge na udiwani iwapo watachanga karata yao vizuri.

Kama walivyo wazanzibar tukisema leo tubadili katiba ili wao wawe na mamlaka zaidi ya kiutawala. Watasheherekea siku hiyo.
Vivyo hivyo kwa watu wa mwambao.

Chadema ina sera ya utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Iwapo chadema itafanya ushawishi wa siri kwaa watu wa mwambao, wakaandikishina kwa siri kuwa chadema ikishinda itaanzisha serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Chadema ikawaachia majimbo ya mwambao wawaeke wagombea wanaowataka wao.

Ni wazi chadema itashinda serikali kwa idadi kubwa ya viti vya ubunge kuwezesha kutunga sheria na kuweza kusimamia sera yao ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Hivyo hata Samia akishinda nafasi ya urais, hatokuwa na uwezo au maguvu aliyonayo sasa.

Ushauri wangu wa bure; Watz tuungane na dhana hii. Kwani hata tukisema tulazikishe mgombea wa urais chadema ashinda sawa na sera hii ya majimbo hatokuwa na nguvu kama katiba ya sasa inavyotoa mamlaka makubwa kwa rais.

Hivyo ni vema tukaungana kumpa Rais Samia kura za urais. Kwa kuwa ndilo jambo kubwa analolitakata. Tunhakikishie ili asiendelee kutumia mapesa kujifanyia kampeni.

Lkn tupeleke nguvu za ushawishi kwa watz wote. Kama serikali ya ccm ina wabunge wote, madiwani wote, wenyeviti wa serikali za mitaa wote. Lkn hakuna tofauti yyt waliyoyafanya. Ni vema basi tupeleke ushawishi huu kuwa tuwachague wabunge wote wa upinzani na hasa wabunge kutoka vyama vyenye sera ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Hii ndio karata bora na nguvu inapohitajika ya propaganda na ushawishi kwa watz
Unatugombanisha sisi wakristo na Rais wetua tafadhari. Sisi hatumpendi mama Samia kwa ajili ya dini dini yake. Epika mambo ya dini. Kira za dini hazitoshi kumfanya mama Samia kuwa Rais. Tena si kila Muislamu ni mdini kama wewe bali mpo asilimia chache sana wenye Imani za kijinga kama wewe. Au unafikori kuwa Chadema huwa wanapigiwa kura na wakristo pekee?
 
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao.

Musiwapangie sawa na utamaduni wenu.

Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais.

Yaani haijalishi. Jambo lolote litalofanywa na watendaji wa Serikali litakaloumiza hisia za Waislam kwa kipindi hili; watu hawa wataibuka na kusema msitugombanishe na Rais wetu, mama yetu na tunampenda.

Utafiti nilioufanya chadema ina nafasi kubwa ya kutoa viti vya ubunge na udiwani iwapo watachanga karata yao vizuri.

Kama walivyo wazanzibar tukisema leo tubadili katiba ili wao wawe na mamlaka zaidi ya kiutawala. Watasheherekea siku hiyo.
Vivyo hivyo kwa watu wa mwambao.

Chadema ina sera ya utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Iwapo chadema itafanya ushawishi wa siri kwaa watu wa mwambao, wakaandikishina kwa siri kuwa chadema ikishinda itaanzisha serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Chadema ikawaachia majimbo ya mwambao wawaeke wagombea wanaowataka wao.

Ni wazi chadema itashinda serikali kwa idadi kubwa ya viti vya ubunge kuwezesha kutunga sheria na kuweza kusimamia sera yao ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Hivyo hata Samia akishinda nafasi ya urais, hatokuwa na uwezo au maguvu aliyonayo sasa.

Ushauri wangu wa bure; Watz tuungane na dhana hii. Kwani hata tukisema tulazikishe mgombea wa urais chadema ashinda sawa na sera hii ya majimbo hatokuwa na nguvu kama katiba ya sasa inavyotoa mamlaka makubwa kwa rais.

Hivyo ni vema tukaungana kumpa Rais Samia kura za urais. Kwa kuwa ndilo jambo kubwa analolitakata. Tunhakikishie ili asiendelee kutumia mapesa kujifanyia kampeni.

Lkn tupeleke nguvu za ushawishi kwa watz wote. Kama serikali ya ccm ina wabunge wote, madiwani wote, wenyeviti wa serikali za mitaa wote. Lkn hakuna tofauti yyt waliyoyafanya. Ni vema basi tupeleke ushawishi huu kuwa tuwachague wabunge wote wa upinzani na hasa wabunge kutoka vyama vyenye sera ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Hii ndio karata bora na nguvu inapohitajika ya propaganda na ushawishi kwa watz
Udini una faida gani?
 
Back
Top Bottom