Watu wa Mwanza Bana: Kumbe Hamisa Mobetto ni mtoto wa Mwanza halafu hamsemi mmekaa kimya?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto?

Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii hiyo kama fursa ya kuitangaza Mwanza? Mnategemea Fid Q peke yake Pamba Jiji ndo walitangaze jiji la Mwanza? Watu wa Mwanza acheni mambo yenu bana Mwanza ni jiji Kubwa sana. Msichukulie poa nguvu ya wasanii na watu maarufu katika kuutangaza mkoa wenu na jiji lenu.. Kuna watu walikuwa hawaijui Temeke vizuri Hadi Juma Nature na TMk wanaume family walivyo kuja kwenye picha.. Jamaica tumeijua kupitia Bob Marley.. Sipati picha kama Hamisa Mobetto angekuwa anatoka Kigoma au ana vinasaba vya Kigoma, waha na wamanyema wange capitalize kwenye hiyo fact..

Halafu kumbe Hadi RICHA ADHIA ( Miss Tz muhindi 2008 kama sikosei) na yeye ni mtoto wa Mwanza.

Watu wa Mwanza acheni hizo bana
 
Ok
 
Aje atusalimie sasa kwanza..mwambie hatumjui.

Wachimbaji wa Dhahabu na Ma Miner wa GGM tumejaa tele na tumejikoki sana tu...atapigwa saundi na faya kama kawa...hatuogopi Mtu.
Ndoa itafungwa kwenye Viwanja vya Furahisha pale na ng'ombe zaidi ya 1000 watachinjwa....Sato...Sangala..na Mazaga mengi tuuu

Aache kujificha Dar huko.
 
Aje atusalimie sasa kwanza..mwambie hatumjui.

Wachimbaji wa Dhahabu na Ma Miner wa GGM tumejaa tele..atepigwa neno na fire kama kawaida...hatuogopi Mtu.
Ndoa itafungwa kwenye Viwanja vya Furahisha pale na ng'ombe zaidi ya 1000 zitachinjwa...

Aache kujificha Dar huko.
Aminia
 
Kumbe matangazo ya mikoa!
Nawashauri jitangazeni kupitia ziwa Victoria na Sato badala ya escorts.
 
Atoe mchango gani au unataka aje awape hela na kiwajazia mafuta bodaboda ? Njaa mbaya sana mnaanzaga hivihivi polepole, mwishowe bakuli hiloooooo
 
Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto?

Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii hiyo kama fursa ya kuitangaza Mwanza? Mnategemea Fid Q peke yake Pamba Jiji ndo walitangaze jiji la Mwanza? Watu wa Mwanza acheni mambo yenu bana Mwanza ni jiji Kubwa sana. Msichukulie poa nguvu ya wasanii na watu maarufu katika kuutangaza mkoa wenu na jiji lenu.. Kuna watu walikuwa hawaijui Temeke vizuri Hadi Juma Nature na TMk wanaume family walivyo kuja kwenye picha.. Jamaica tumeijua kupitia Bob Marley.. Sipati picha kama Hamisa Mobetto angekuwa anatoka Kigoma au ana vinasaba vya Kigoma, waha na wamanyema wange capitalize kwenye hiyo fact..

Halafu kumbe Hadi RICHA ADHIA ( Miss Tz muhindi 2008 kama sikosei) na yeye ni mtoto wa Mwanza.

Watu wa Mwanza acheni hizo bana
Hamisa Mobeto ni mkurya,wakurya kwao ni tarime au mugumu
 
Back
Top Bottom