Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
OkHivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto?
Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii hiyo kama fursa ya kuitangaza Mwanza? Mnategemea Fid Q peke yake Pamba Jiji ndo walitangaze jiji la Mwanza? Watu wa Mwanza acheni mambo yenu bana Mwanza ni jiji Kubwa sana. Msichukulie poa nguvu ya wasanii na watu maarufu katika kuutangaza mkoa wenu na jiji lenu.. Kuna watu walikuwa hawaijui Temeke vizuri Hadi Juma Nature na TMk wanaume family walivyo kuja kwenye picha.. Jamaica tumeijua kupitia Bob Marley.. Sipati picha kama Hamisa Mobetto angekuwa anatoka Kigoma au ana vinasaba vya Kigoma, waha na wamanyema wange capitalize kwenye hiyo fact..
Halafu kumbe Hadi RICHA ADHIA ( Miss Tz muhindi 2008 kama sikosei) na yeye ni mtoto wa Mwanza.
Watu wa Mwanza acheni hizo bana
AminiaAje atusalimie sasa kwanza..mwambie hatumjui.
Wachimbaji wa Dhahabu na Ma Miner wa GGM tumejaa tele..atepigwa neno na fire kama kawaida...hatuogopi Mtu.
Ndoa itafungwa kwenye Viwanja vya Furahisha pale na ng'ombe zaidi ya 1000 zitachinjwa...
Aache kujificha Dar huko.
Thats why nasema wamtumieSasa huyo dada anamchango gani na Mwanza? Bora wampotezee tu.
Sio powaAngalia shingo Hamisa Mobeto
Hujasoma psychology of business ndio maanaAtoe mchango gani au unataka aje awape hela na kiwajazia mafuta bodaboda ? Njaa mbaya sana mnaanzaga hivihivi polepole, mwishowe bakuli hiloooooo
Kila kitu kina sehemu yakeKumbe matangazo ya mikoa!
Nawashauri jitangazeni kupitia ziwa Victoria na Sato badala ya escort girls.
Hamisa Mobeto ni mkurya,wakurya kwao ni tarime au mugumuHivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto?
Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii hiyo kama fursa ya kuitangaza Mwanza? Mnategemea Fid Q peke yake Pamba Jiji ndo walitangaze jiji la Mwanza? Watu wa Mwanza acheni mambo yenu bana Mwanza ni jiji Kubwa sana. Msichukulie poa nguvu ya wasanii na watu maarufu katika kuutangaza mkoa wenu na jiji lenu.. Kuna watu walikuwa hawaijui Temeke vizuri Hadi Juma Nature na TMk wanaume family walivyo kuja kwenye picha.. Jamaica tumeijua kupitia Bob Marley.. Sipati picha kama Hamisa Mobetto angekuwa anatoka Kigoma au ana vinasaba vya Kigoma, waha na wamanyema wange capitalize kwenye hiyo fact..
Halafu kumbe Hadi RICHA ADHIA ( Miss Tz muhindi 2008 kama sikosei) na yeye ni mtoto wa Mwanza.
Watu wa Mwanza acheni hizo bana
Hamisa Mobetto ni mnyamweziHamisa Mobeto ni mkurya,wakurya kwao ni tarime au mugumu
Ushawahi fika Mwanza lo?????
Mara nyingi...Ushawahi fika Mwanza lo?????
Awamu hii hujasilitika hahahahhh..Mara nyingi...