Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Mkuu you are on record kuwakejeli watu wa Kyela badala ya kuomba misaada na kuwafariji wakati wa mafuriko.
Hatusahau hilo.
Wewe kunywa kimpumu hapo mabatini au Nenda ukanywe Ghana kule. Kama uliona alikosea hapo basi kila mwanadam kuna wakat hukosea. Hakuna mkamilifu
 
Sio wewe tu kiongozi mimi nimetafakari sana juu ya hii teuzi nikajiuliza ni kama vile huyu mama tulimkosea jambo asee tuombe mungu tu.
 
Huyu mama kwa kweli kwa adhabu ambayo katupatia ya kutuletea huyu mtu huku hakika nimeamini alikuwa na chuki dhidi ya Mwanza.
 
Wenda ulikua na hoja nzuri , na Wala hapakua na sababu ya kutumia lugha kali ,sijui washamba so what, why kukurupuka hivyo Kama mwizi aliefukuzwa kwenye shamba la mahindi
We huyo jamaa umeanza kumjua leo? Huyo huwa anachuki kubwa sana na mkoa wa Mwanza hasa jiji la Mwanza, ata ukianzisha thread ya Mwanza vs tandahimba atakuambia tandahimba ni bora zaidi ya jiji la Mwanza, we mzoee tu huyo mshikaji.
 
We mzoee huyo fala atakupotezea muda huwa ana chuki na jiji la Mwanza na watu wake.
 
Mbeya hatunaga shida huyu jamaa Yuko peace Tu ila maneno yake yanaweza yakakuletea ukakasi Tu ni mtu poa sana

Mjue Tu huko atawatania balaa mtatukanwa kwelikweli Kwa kuwa ni mtani wenu
 
..kwanini anastaafishwa mwanamke[mghwira] halafu anateuliwa mwanaume[makongoro] mzee asiye na rekodi yoyote? kuna watu wanamhujumu mama samia.

cc Nguruvi3, Chige
Kama ametumia kigezo cha umri basi kitakuwa kiroja cha karne kwa sababu wote wawili, at least according to Wikipedia, wapo 62!!

Labda waseme Mghwira kawa replaced na Queen Cuthbert aliyekuwa mgombea urais kupitia ADC! Binafsi jana nilijiuliza sana kuhusu uteuzi wa Makongoro lakini baadae nikaona naumiza kichwa tu manake CCM wamekubuhu kwa teuzi za aina hii!!
 
Wewe kunywa kimpumu hapo mabatini au Nenda ukanywe Ghana kule. Kama uliona alikosea hapo basi kila mwanadam kuna wakat hukosea. Hakuna mkamilifu
Sawa mkuu!
Tupo hapa tunataghila kimpumu kusheherekea kuwa pasia mpira Mwanza!
😀😀
 
Hata aliyetoka Mwanza sio wa maana sana hajaitendea Mwanza haki(hakuwa mbunifu,hana ushawishi bali ni mtafuta kiki),sasa amepelekwa Mkoa wenye utulivu(SIMIYU).
 
Hata aliyetoka Mwanza sio wa maana sana hajaitendea Mwanza haki(hakuwa mbunifu,hana ushawishi bali ni mtafuta kiki),sasa amepelekwa Mkoa wenye utulivu(SIMIYU).
Upo sahihi. Aliyetoka ni kama hakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…