Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Alishawahi kujitangaza anapenda wanawake wafupi wanene.na uzinzi wa kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishawahi kujitangaza anapenda wanawake wafupi wanene.na uzinzi wa kijinga
Wewe kunywa kimpumu hapo mabatini au Nenda ukanywe Ghana kule. Kama uliona alikosea hapo basi kila mwanadam kuna wakat hukosea. Hakuna mkamilifuMkuu you are on record kuwakejeli watu wa Kyela badala ya kuomba misaada na kuwafariji wakati wa mafuriko.
Hatusahau hilo.
Sio wewe tu kiongozi mimi nimetafakari sana juu ya hii teuzi nikajiuliza ni kama vile huyu mama tulimkosea jambo asee tuombe mungu tu.Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Huyu mama kwa kweli kwa adhabu ambayo katupatia ya kutuletea huyu mtu huku hakika nimeamini alikuwa na chuki dhidi ya Mwanza.Sisi wa Mwanza tunatakiwa tujiulize sana. Yaani katika watu zaidibya milioni 60, imeshindikana kumpata mtu mmoja mwenye hekima na akili iliyotulia kuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Au kuna jambo linalomkera Mh. Rais ambalo lina uhusiano ja watu wa Mwanza?
Duh! Chalamila!!! Balaa kubwa.
We huyo jamaa umeanza kumjua leo? Huyo huwa anachuki kubwa sana na mkoa wa Mwanza hasa jiji la Mwanza, ata ukianzisha thread ya Mwanza vs tandahimba atakuambia tandahimba ni bora zaidi ya jiji la Mwanza, we mzoee tu huyo mshikaji.Wenda ulikua na hoja nzuri , na Wala hapakua na sababu ya kutumia lugha kali ,sijui washamba so what, why kukurupuka hivyo Kama mwizi aliefukuzwa kwenye shamba la mahindi
We mzoee huyo fala atakupotezea muda huwa ana chuki na jiji la Mwanza na watu wake.Nani alikuambia watu wa mwanza washamba? unaijua Mwanza kweli wewe? inaonekana huijui vizuru ngoja nikupe dondoo chache za mwanza,Hakuna mahali pana upinzani mkali na wa dhati kama mwanza,ukiacha upolaji na siasa kandamizi za mwenda zake mwanza ilikuwa ikiongozwa na wabunge wa upinzani majimbo yote mawawili. wakati wa kampeini mwaka jana LISU alipokelewa kama shujaa hapo mwanza watu hawakulala.
Mbeya hatunaga shida huyu jamaa Yuko peace Tu ila maneno yake yanaweza yakakuletea ukakasi Tu ni mtu poa sanaHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Unauwezo gani na kisura chako kitamu hivoTutamlaza nje, ataomba kuhama mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kama kuna jambo.Chalamila anaongea sana. Ni chawa mzuri. Ni mkakati amewekwa Mwanza kumtangaza mama. Na atamtangaza kweli. Mwanza ni eneo la kimkakati
Na tutamkaribisha kwa Sato Mbichi na Obusima!Duh watu mna mambo. Mbona wana mwanza wamefurahi shangwe kila kona
Kama ametumia kigezo cha umri basi kitakuwa kiroja cha karne kwa sababu wote wawili, at least according to Wikipedia, wapo 62!!
Sawa mkuu!Wewe kunywa kimpumu hapo mabatini au Nenda ukanywe Ghana kule. Kama uliona alikosea hapo basi kila mwanadam kuna wakat hukosea. Hakuna mkamilifu
Inabidi mpambane haswaTuna kazi wananzengo!
Hata aliyetoka Mwanza sio wa maana sana hajaitendea Mwanza haki(hakuwa mbunifu,hana ushawishi bali ni mtafuta kiki),sasa amepelekwa Mkoa wenye utulivu(SIMIYU).Sisi wa Mwanza tunatakiwa tujiulize sana. Yaani katika watu zaidibya milioni 60, imeshindikana kumpata mtu mmoja mwenye hekima na akili iliyotulia kuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Au kuna jambo linalomkera Mh. Rais ambalo lina uhusiano ja watu wa Mwanza?
Duh! Chalamila!!! Balaa kubwa.
Upo sahihi. Aliyetoka ni kama hakuwepo.Hata aliyetoka Mwanza sio wa maana sana hajaitendea Mwanza haki(hakuwa mbunifu,hana ushawishi bali ni mtafuta kiki),sasa amepelekwa Mkoa wenye utulivu(SIMIYU).
when the death of monkey reaches all the trees become slippery....................... hahaahahaahaMkizingua mtakula viboko huko