Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Amekuja kutuharibia hali ya hewa
 
Punguza mawivu
 
Yaani nimefurahi sana huyu jamaa kuwepo bado kwenye ramani....Mungu ni mwema
 
Mlilia sana msibani na sisi tulikua tunawacheki tu mlivyokuwa mnaimba 'jeshi'
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu
 
Mkuu wa Mkoa unaweza kuwa na Mawazo haya[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…