mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Amekuja kutuharibia hali ya hewaHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.