Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Katudharau sana huyu mama... Kutuletea hili zee la misifa ni kutukosea heshima kabisa Mhe: Samia tafadhari fikiria upya na Mwanza yetu...
 
Atawafaa sana. Mtulie kama mnanyolewa
 
Mkuu embu hamia mwanza umfuate naona una uchungu nae haswa
 
Mlisahau hii[emoji116]
"Heshimu watu sponsor hufariki"
 
Tusikate tamaa wananzengo.
zHuyu Chalamila anaweza kuukwaa Uwaziri Mkuu!
 
Mburula wewe. Hivi unadhani tumefurahi kuibiwa Charamila wetu.
Ila Sema ametifundisha kuwa uongozi pia ni kufurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…