Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Homera[emoji1]Mjiandae ni fimbo tu[emoji3][emoji3] bye Former RC Mbeya. Hivi Mbeya tumeletewa nani wakuu?
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Homera[emoji1]Mjiandae ni fimbo tu[emoji3][emoji3] bye Former RC Mbeya. Hivi Mbeya tumeletewa nani wakuu?
Katudharau sana huyu mama... Kutuletea hili zee la misifa ni kutukosea heshima kabisa Mhe: Samia tafadhari fikiria upya na Mwanza yetu...Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Atawafaa sana. Mtulie kama mnanyolewaHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Chuki mbaya sana,Mbeya ya Chalamila imenawiri kuliko wale dhaifu mliokuwa mnawaendesha huku mnapiga pesa
Mkuu embu hamia mwanza umfuate naona una uchungu nae haswaWapumbavu Sana hao wanaopayuka humu ,ujue shida ya hao jamaa kawaminya maana kwenye kutetea haki haangalii umaarufu au jina la mtu.
Mimi binafsi nimesikitika kumtoa Mbeya kwa sababu kule kuna majizi hatari,mfano mdogo lile soko la mwanjelwa,sido kuna watu walipiga pesa akaanza kuwabana,imagine barabara ambazo zilijengwa chini ya mradi wa TSCP zote zimebomoka na chini ya miaka 6.
Ni awamu yake ndio sijasikia wizi sasa majizi yataanza kupiga pesa upya.Pili Mbeya kuna watu wenye kiburi na jeuri sasa mtu anaewafaa ni Chalamila,Hapi yaani mtu anakunanga bila kujali jina lako.
Akina Makala hao ni wezi na watu wenye njaa Sana
kwa hiyo stahili ya viboko watawezana wote vichwa majiMjiandae ni fimbo tu😀😀 bye Former RC Mbeya. Hivi Mbeya tumeletewa nani wakuu?
Atajuta msukuma umletee fimbo kweli ataweza😀kwa hiyo stahili ya viboko watawezana wote vichwa maji
mgwira kastaafu kisheria. sio kutolewa. uwe unafuatilia
Mlisahau hii[emoji116]Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Tusikate tamaa wananzengo.Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Astakafullahi!Badala ya kupelekwa milembe,analetwa Mwanza
Mbona Makongoro ana umri sawa na mamaAmestaafu huyo Mama Kwani huoni na uzee anao
KastaafishwaKwani yule mama hajapewa mkoa mwingine
Ana 61 na makongoro ana 61Muwe mnasoma mnaelewa, unakurupuka kinyumbunyumbu wakati mghwira kastaafu Ana zaidi ya 65.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mburula wewe. Hivi unadhani tumefurahi kuibiwa Charamila wetu.Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Atashiriki futuhi...Minaona sawa tu, maana mmesogezewa comedian...[emoji1787][emoji1787]