Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Chalamila anaongea sana. Ni chawa mzuri. Ni mkakati amewekwa Mwanza kumtangaza mama. Na atamtangaza kweli. Mwanza ni eneo la kimkakati
 
Ndiyo arogwe sasa akizingua,
Kamati ya ufundi si iko jirani tu
pale Gambosi bhazehe.
 
Chalamila anaongea sana. Ni chawa mzuri. Ni mkakati amewekwa Mwanza kumtangaza mama. Na atamtangaza kweli. Mwanza ni eneo la kimkakati
Kwa hii point yako nadhani uko sahihi, jamaa ni chawa flani talented katika fani ya uchawa.
 
Asante mungu mbeya tumeshinda vita kazi kwenu mwanza na sehemu za usafiri wa umma zilivo ndefu mjiandae kulipa hata 2000 maan kisesa to buhongwa polen sana kwa jaribu hilo linalo kuja huko😔😔
 
Asante mungu mbeya tumeshinda vita kazi kwenu mwanza na sehemu za usafiri wa umma zilivo ndefu mjiandae kulipa hata 2000 maan kisesa to buhongwa polen sana kwa jaribu hilo linalo kuja huko😔😔
Tulisema wakatuita wanafiki.Sasa tumeletewa mdomoni.
Lakini hongera chalii Chalamila!
 
Mara hamsini Agrey Mwanri
Huyu ninamkubali..anauwezo mkubwa..mama mwangalie huyu kiongozi..yupo benchi..ila Ni kiongozi mzuri Sana..hata ukimpa wizara..ni karata nzuri Sana utakuwa umeingiza kiongozi mzuri Sana kwenye serikali yako.
 
Ndio maisha msiogope haji kuwachapa viboko atamuogopa mama, huyu wa Mwanza sio yule Chalamila wa mwendazake.

Haaaaa, Kipindi kile alikuwa akicheza ngoma ya Mwendazake Kipindi hiki atacheza ngoma ya Mama (Sasha). 🤣🤣
 
Mama kafanya reshuffle tu ya hawa wahuni. She is clueless na tusitegemee jipya.

Haya ni madhara ya mtu kudondokewa na uRais ghafla bin vuu
 
Mkuu you are on record kuwakejeli watu wa Kyela badala ya kuomba misaada na kuwafariji wakati wa mafuriko.
Hatusahau hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…