Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo arogwe sasa akizingua,Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Yes huyu angewafaa sana ili wakileta maneno tu wasukumwe ndani😀😀😀Mara hamsini Agrey Mwanri
Kwa hii point yako nadhani uko sahihi, jamaa ni chawa flani talented katika fani ya uchawa.Chalamila anaongea sana. Ni chawa mzuri. Ni mkakati amewekwa Mwanza kumtangaza mama. Na atamtangaza kweli. Mwanza ni eneo la kimkakati
Asante mungu mbeya tumeshinda vita kazi kwenu mwanza na sehemu za usafiri wa umma zilivo ndefu mjiandae kulipa hata 2000 maan kisesa to buhongwa polen sana kwa jaribu hilo linalo kuja huko😔😔Huyu mjinga anaondoka huko mbeya ameacha crisis kubwa sana kwenye sekta ya usafili wa uma. Leo nadhani ni wiki sasa magari ya kubeba abilia yako kwenye mgomo, sipati picha wakazi wa mbeya wanapitia tabu ya namna gani.
ni mtu anayeongea sana lakini hana maamuzi isipokuwa yale yaliyotoka juu yake.
Mgwira kastaafuMama ni meko tu.
Kamtoa mwanamke mwenzake mngwira anamuacha ali hapi
Poleni!Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
mgwira kastaafu kisheria. sio kutolewa. uwe unafuatilia
Tulisema wakatuita wanafiki.Sasa tumeletewa mdomoni.Asante mungu mbeya tumeshinda vita kazi kwenu mwanza na sehemu za usafiri wa umma zilivo ndefu mjiandae kulipa hata 2000 maan kisesa to buhongwa polen sana kwa jaribu hilo linalo kuja huko😔😔
Huyu ninamkubali..anauwezo mkubwa..mama mwangalie huyu kiongozi..yupo benchi..ila Ni kiongozi mzuri Sana..hata ukimpa wizara..ni karata nzuri Sana utakuwa umeingiza kiongozi mzuri Sana kwenye serikali yako.Mara hamsini Agrey Mwanri
Karibu Mwanza mkuu, tutakula sahani moja.Chuki mbaya sana,Mbeya ya Chalamila imenawiri kuliko wale dhaifu mliokuwa mnawaendesha huku mnapiga pesa
Ndio maisha msiogope haji kuwachapa viboko atamuogopa mama, huyu wa Mwanza sio yule Chalamila wa mwendazake.
Aliyetaka kubomoa hoteli ya Sugu, ni nani vile?Chalamila ni kiongozi mzuri sana. Anapenda vichekesho vya hapa na pale lakini siyo katili, siyo dhalimu, siyo muonevu na ni mchapakazi sana. Mii namuona ni RC mzuri sana
[emoji28][emoji28][emoji28]Mwanza wamelamba dume kwa kweli maana ilupoa sana.
HaaahaaaaKwahiyo huo mzigo mlitaka nani apelekewe?
Mkuu you are on record kuwakejeli watu wa Kyela badala ya kuomba misaada na kuwafariji wakati wa mafuriko.Mwanza kupewa Chalamila ni jambo la kushukuru. Chalamila ni kiongoz ambaye unaweza unamfaham vizur endapo utakuwa na Shida lakin si Kwa kumfuatilia mitandaon.
By the way ni kawaida Kwa mtu aliyefanya vizuri Mbeya kupelekwa Mwanza. Iliwahi tokea Kwa Abbas Kandoro pia.