Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hata Chalii Chalamila yuaja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgomo wa daladala mpaka anaondolewa hajaweza kuutatua.Kosa lake ni lipi? ni mchapa kazi anayeheshimu makundi yote ya watu na ni mcheshi sana. Katika kipindi chake hapa mbeya tuliishi kwa furaha sana kwani anapekekabujumbe kwa njia ya commedy na kila mtu anamwelewa na kutekeleza kwa furaha
How..yeye mwenyewe jana akiwa mahala alisema nimepokea taarifa nikiwa njiani kwamba kuna mabadiliko......Muwe mnasoma mnaelewa, unakurupuka kinyumbunyumbu wakati mghwira kastaafu Ana zaidi ya 65.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kila mtu na mapungufu yake, atajifunza kuwa kila kitabu na zama zakeHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Kwa hiyo wewe ulitaka lile Boya Mongela liendelee kuwa Mwanza? Mbona Chalamila fresh tuHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Mongela ni miongoni mwa wakuu wa mikoa Bora Tanzania, Hana mihemko ya uongozi.Kwa hiyo wewe ulitaka lile Boya Mongela liendelee kuwa Mwanza? Mbona Chalamila fresh tu
bhaba wee sasa hiv kila mtu mwanahalakatKosa lake ni lipi? ni mchapa kazi anayeheshimu makundi yote ya watu na ni mcheshi sana. Katika kipindi chake hapa mbeya tuliishi kwa furaha sana kwani anapekekabujumbe kwa njia ya commedy na kila mtu anamwelewa na kutekeleza kwa furaha
Kiukweli jimesikitika Mongela kuondolewa, kijana mstaarabu sana.Mongela ni miongoni mwa wakuu wa mikoa Bora Tanzania, Hana mihemko ya uongozi.
lakin mletewa comedian pia 😃😃Tulisema wakatuita wanafiki.Sasa tumeletewa mdomoni.
Lakini hongera chalii Chalamila!
[emoji23][emoji23]Mungo kasikia maombi yetu
Kaenda wapi huyuNaona Tabora nao wamefurahi kupndolewa Ally Hapi
Leo sijui kila ni nani!Vilaza chadema walitaka atumbuliwe