Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Kosa lake ni lipi? ni mchapa kazi anayeheshimu makundi yote ya watu na ni mcheshi sana. Katika kipindi chake hapa mbeya tuliishi kwa furaha sana kwani anapekekabujumbe kwa njia ya commedy na kila mtu anamwelewa na kutekeleza kwa furaha
 
Mgomo wa daladala mpaka anaondolewa hajaweza kuutatua.
Leo ni zaidi ya wiki mbili hakuna kilichofanika, ze comedy heri aende huko Mwanza.
Mbeya wanahitaji watu serious kue ndeleza economic potential.
 
Muwe mnasoma mnaelewa, unakurupuka kinyumbunyumbu wakati mghwira kastaafu Ana zaidi ya 65.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
How..yeye mwenyewe jana akiwa mahala alisema nimepokea taarifa nikiwa njiani kwamba kuna mabadiliko......
Kama issue ni kustaafu wala asingesema nimepokea taarifa bali angesema nimestaafu
 
Mlishangilia sebaya kusimamishwa mara paaap mama ambaye ni kama hasimu wake anaachwa et kastaafu tunaremba mwandiko
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Kila mtu na mapungufu yake, atajifunza kuwa kila kitabu na zama zake
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Kwa hiyo wewe ulitaka lile Boya Mongela liendelee kuwa Mwanza? Mbona Chalamila fresh tu
 
Kosa lake ni lipi? ni mchapa kazi anayeheshimu makundi yote ya watu na ni mcheshi sana. Katika kipindi chake hapa mbeya tuliishi kwa furaha sana kwani anapekekabujumbe kwa njia ya commedy na kila mtu anamwelewa na kutekeleza kwa furaha
bhaba wee sasa hiv kila mtu mwanahalakat
yaan kila mtu anaandika tu kukosoa kupinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
 
Back
Top Bottom