Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Mama ni msikivu
obama.png
 
Tuombee Mungu mama mwenye nyumba asipite humu kuona malalamiko yao. Unaweza shangaa kesho akaamka anatumbuliwa baada ya kusoma comments za hawa vilaza. Kumbuka yaliyo wafika kina Bashiru, Sabaya na wengineo..
Wenye kuona mbali tulitabiri haya kutokea. Pole yake Chalamila.
 
Kosa lake ni lipi? ni mchapa kazi anayeheshimu makundi yote ya watu na ni mcheshi sana. Katika kipindi chake hapa mbeya tuliishi kwa furaha sana kwani anapekekabujumbe kwa njia ya commedy na kila mtu anamwelewa na kutekeleza kwa furaha
avogadro wewe utakuwa hauishi Mbeya. Leo Mbeya wamesherekea sana huyu Pimbi Chalamila alipotemeshwa ukuu wa mkoa
 
Kwa hiyo mama SSH amekusikia na amefuata maelekezo yako eeh😡! Mungu baba, naomba utusamehe watz kwa kum'frustrate' mtu wako hon Dr JPM mpaka ukaruhusu umpumzishe rahani mwako🙏😭! Huyu uliyetuletea naona anaongozwa nq midemko ya mtandaoni😡! Pole Chalamila, kuna maisha nje ya ukuu wa mkoa, usijali🤔!

Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Ngwira miaka 62 out.makongoro nyerere miaka 62 in
Hakuna tatizo, mwingine anaweza kuwa amefikia umri wa kustaafu lakini akapewa mkataba mfupi same as hii ishu ya mako na mghwira.

BTW mghwira aliomba kupumzika tofauti na Mako yeye bado anataka uongozi.
 
Kwa makongoro ameongezewa mkataba upi na alikuwa kijiweni ,kwa ngwira ina make sense
 
Kwa makongoro ameongezewa mkataba upi na alikuwa kijiweni ,kwa ngwira ina make sense
Unaweza kuitwa kufanya kazi hata kama umri umevuka nadhani kwa hili haihitaji kubishana sana.
 
Unaweza kuitwa kufanya kazi hata kama umri umevuka nadhani kwa hili haihitaji kubishana sana.
Kuna nature ya kazi na ulikuwa unafanya nini before hili liko wazi sio kubishana ila kwa ishu ya mako kuna ukakasi
 
Back
Top Bottom