Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Mama Ngwira aliomba muda mrefu kupumzika mmalaka ya uteuzi ya mwenda zake ikasema avumilie muda wake wa kustafu umekaribiaMama ni meko tu.
Kamtoa mwanamke mwenzake mngwira anamuacha ali hapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Ngwira aliomba muda mrefu kupumzika mmalaka ya uteuzi ya mwenda zake ikasema avumilie muda wake wa kustafu umekaribiaMama ni meko tu.
Kamtoa mwanamke mwenzake mngwira anamuacha ali hapi
Haya Sasa Kati yako na hao chadema Nani kilaza wewe mataga?Vilaza chadema walitaka atumbuliwe
Mama hataki cheap popularityMama Ngwira aliomba muda mrefu kupumzika mmalaka ya uteuzi ya mwenda zake ikasema avumilie muda wake wa kustafu umekaribia
Bado huyo aliyekuwa akisema Mama ana red card na Yellow card.Mama hataki cheap popularity
Majibu ulipewa au nikupe mimi ?Tatizo lake ni nini? Ukisema nakutumia mzigo.
Wenye kuona mbali tulitabiri haya kutokea. Pole yake Chalamila.Tuombee Mungu mama mwenye nyumba asipite humu kuona malalamiko yao. Unaweza shangaa kesho akaamka anatumbuliwa baada ya kusoma comments za hawa vilaza. Kumbuka yaliyo wafika kina Bashiru, Sabaya na wengineo..
avogadro wewe utakuwa hauishi Mbeya. Leo Mbeya wamesherekea sana huyu Pimbi Chalamila alipotemeshwa ukuu wa mkoaKosa lake ni lipi? ni mchapa kazi anayeheshimu makundi yote ya watu na ni mcheshi sana. Katika kipindi chake hapa mbeya tuliishi kwa furaha sana kwani anapekekabujumbe kwa njia ya commedy na kila mtu anamwelewa na kutekeleza kwa furaha
Uliandika kwa uchungu Sana mara huyu pimbi alipoteuliwa kuwa RC Mwanza. Hongereni wana MwanzaAsalam aleikhum Wa Rahma tulayi Wabharakatuh....... Hamjambo ndugu zanguni?
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Ngwira miaka 62 out.makongoro nyerere miaka 62 inmgwira kastaafu kisheria. sio kutolewa. uwe unafuatilia
Tayari mkuu utabili wako umetimiaVilaza chadema walitaka atumbuliwe
Hakuna tatizo, mwingine anaweza kuwa amefikia umri wa kustaafu lakini akapewa mkataba mfupi same as hii ishu ya mako na mghwira.Ngwira miaka 62 out.makongoro nyerere miaka 62 in
Kwa makongoro ameongezewa mkataba upi na alikuwa kijiweni ,kwa ngwira ina make senseHakuna tatizo, mwingine anaweza kuwa amefikia umri wa kustaafu lakini akapewa mkataba mfupi same as hii ishu ya mako na mghwira.
BTW mghwira aliomba kupumzika tofauti na Mako yeye bado anataka uongozi.
Unaweza kuitwa kufanya kazi hata kama umri umevuka nadhani kwa hili haihitaji kubishana sana.Kwa makongoro ameongezewa mkataba upi na alikuwa kijiweni ,kwa ngwira ina make sense
Kuna nature ya kazi na ulikuwa unafanya nini before hili liko wazi sio kubishana ila kwa ishu ya mako kuna ukakasiUnaweza kuitwa kufanya kazi hata kama umri umevuka nadhani kwa hili haihitaji kubishana sana.