Watu wa Mwanza, ujasiri wa kuishi na ng'ombe mjini huwa mnautoa wapi?

Watu wa Mwanza, ujasiri wa kuishi na ng'ombe mjini huwa mnautoa wapi?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu hapa unapoona ni jiji Mwanza!

Yaan Mwanza jiji mtu anaishi na mang’ombe nyumbani. Mtaani yaan ukipta hapo furu kunuka.

EC9965C7-F1F0-4AD1-80CC-4CB339692775.jpeg
 
Mambo mengine kama hayakuhusu waachie wenye mji wao. Wenyewe wanaona kawaida tu.

Binafisi Mimi nikienda family yoyote nisikute paka,mbwa,kuku,Bata ama kamafugo kokote kama njiwa asee huo mji siwezi ishi. Hata nikiishi ni Kwa taabu sana Bado sijawahi nijua ninashida Gani.

Nikikaa zaidi ya mwezi lazima wataniona Nina kuku hata wawili wapo pale nikiondoka nawaachia.
 
Back
Top Bottom