His Eminence
Senior Member
- Sep 22, 2024
- 123
- 376
siyo Kweli,mwanza na wilaya zake walishapiga marufuku kukaa na mifugo town,hapo ni farm,sema umekurupuka hujaujua mjiWakuu hapa unapoona ni jiji Mwanza!
Yaan Mwanza jiji mtu anaishi na mang’ombe nyumbani. Mtaani yaan ukipta hapo furu kunuka.
View attachment 3158389