Watu wa Mwanza, ujasiri wa kuishi na ng'ombe mjini huwa mnautoa wapi?

Wasipofuga ng'ombe maziwa watapata wapi sasa!! Kwamba maziwa Hadi yatoke Ukerewe, Sengerema, Kwimba, Misungwi, Magu ndo watu wapate kunywa maziwa au chai ya maziwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…