Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Danieli 9:27
Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
Yesu pia alisema kuhusu hilo chukizo la uhalibifu kusimama mahali patakatifu pasipo kutolea fafanuzi yoyote yeye akaema asomaye na afahamu.
Mathayo 24:15
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu)
Je kwa watu wenye uelewa zaidi ya biblia naomba majawabu hili chukizo la uharibifu ni la namna gani na patakatifu litakaposimamishwa ni wapi?
Ikumbukwe kuwa yesu alikuwa anaongelea mambo ya siku za mwisho .
Ahsante sana