Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania Tuendelee kuwa Wamoja Hata Kwenye Vitu Vingine Ambavyo Vitaonekana Kuwaonea Au Kuwakandamiza Wachache Iwe Kisiasa Au Kijamii Tusionekane Tunachagua Kipi Cha Kutetea Kipi Cha Kukaa Kimya. Taifa Letu Litafika Mahala Ambapo Kila Mtu Anatamani Lifike Kwa Umoja Wetu.
Unamaanisha hatuwezi kuwa wamoja kwenye mambo yenye tija ila tunaweza kuungana kwenye mambo ya kipuuzi ?Kila mtu ana nafasi yake ktk jamii, hatuwez kuwa watu type moja.
Fafanua vizuri ili kama umeongea pumba tujue mkuu.Watanzania Tuendelee kuwa Wamoja Hata Kwenye Vitu Vingine Ambavyo Vitaonekana Kuwaonea Au Kuwakandamiza Wachache Iwe Kisiasa Au Kijamii Tusionekane Tunachagua Kipi Cha Kutetea Kipi Cha Kukaa Kimya. Taifa Letu Litafika Mahala Ambapo Kila Mtu Anatamani Lifike Kwa Umoja Wetu.
Mambo yenye tija ni yapi hayo?Unamaanisha hatuwezi kuwa wamoja kwenye mambo yenye tija ila tunaweza kuungana kwenye mambo ya kipuuzi ?
[emoji1][emoji1]Fafanua vizuri ili kama umeongea pumba tujue mkuu.
Naomba tuwe pamoja pia katika hii comment yangu
Kuhakikisha huduma za kijamii zinatolewa kwa ubora.
Sasa kama ni kazi yetu sote kuna haja gani yakuwa na viongozi ?Kuhakikisha huduma za kijamii zinatolewa kwa ubora.
Kuhakikisha pesa za watanzania zinatumika ipasavyo na viongozi wetu.
Hayo ni baadhi tu
inasaidiaje mkuu maana mimi pia nina hilo tatizo!Umenikumbusha aisee ,Mie gongo natumia kama dawa ya vidonda vya tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ni imani mkuu au vipi ila mimi huwa nakunywa glass moja inaacha kwa mudainasaidiaje mkuu maana mimi pia nina hilo tatizo!
Sasa chama gani tukiunge mkoni? maana Chadema wanapata ruzuku ya zaidi ya bilioni 3 kwa mwaka lakini hawezi hata kujenga choo kwenye makao makuu ya chama chao.
Uelewa wako umeishia hapo ?