Watu wa Ovyo Ovyo Tukutane Hapa.

Watu wa Ovyo Ovyo Tukutane Hapa.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kama kawaida mida yetu huwa ni jioni, hii ndo mida ambayo liquid tunaifanya(ga) iendelee kubaki kileleni.

GBWA-20190331161609.jpeg
 
Bongo raha sana ukifa unaacha stori nyingi Sana natamani kuishi milele ila TU niwe na pesa
 
Watanzania Tuendelee kuwa Wamoja Hata Kwenye Vitu Vingine Ambavyo Vitaonekana Kuwaonea Au Kuwakandamiza Wachache Iwe Kisiasa Au Kijamii Tusionekane Tunachagua Kipi Cha Kutetea Kipi Cha Kukaa Kimya. Taifa Letu Litafika Mahala Ambapo Kila Mtu Anatamani Lifike Kwa Umoja Wetu.
 
Sanaa, bongo tunakufa huku tumeacha siredi nyingi sana za stori za hapa na pale.

Asante sana Melo.
 
Kila mtu ana nafasi yake ktk jamii, hatuwez kuwa watu type moja.
Watanzania Tuendelee kuwa Wamoja Hata Kwenye Vitu Vingine Ambavyo Vitaonekana Kuwaonea Au Kuwakandamiza Wachache Iwe Kisiasa Au Kijamii Tusionekane Tunachagua Kipi Cha Kutetea Kipi Cha Kukaa Kimya. Taifa Letu Litafika Mahala Ambapo Kila Mtu Anatamani Lifike Kwa Umoja Wetu.
 
Watanzania Tuendelee kuwa Wamoja Hata Kwenye Vitu Vingine Ambavyo Vitaonekana Kuwaonea Au Kuwakandamiza Wachache Iwe Kisiasa Au Kijamii Tusionekane Tunachagua Kipi Cha Kutetea Kipi Cha Kukaa Kimya. Taifa Letu Litafika Mahala Ambapo Kila Mtu Anatamani Lifike Kwa Umoja Wetu.
Fafanua vizuri ili kama umeongea pumba tujue mkuu.

Naomba tuwe pamoja pia katika hii comment yangu
 
Mimi ni mtu wa ovyo naanza kupost kitu gani maana ni ovyo ovyo style naomba mwongozo
 
Back
Top Bottom