Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila



Hahahaa kuna mikoa km kuna wachungaji wa kuiombea basi huo uloutaja kwakweli uwekwe "Wakfu!yaan wafunge kavu siku60!hela ipo sana ila wenyeji walaaa!anakubali ww usiye mzawa umuajiri shambani kwake umlipe ujira mdogo 😞😞😞!
Akipata jioni Balimiiiiii
 
We ni MKABILA
na unapaswa KUPUUZWA
 



Geita imezungukwa na madini lakini ajabu kuna miji haina umeme..umeme umekuja mwaka huu april🀣!acheni wachaga waitwe wachaga !kuna areas zina mijidhahabu lakini huoni hat mjengo wa maana..!lols!aibu hii!
 

Yaani Tanzania tupo miwatu bado inashabikia watu wenye kupenda mediocrity kama Jaffo!

Sijui lini tunaweza vitu vya maana!
 
Unamaanisha kule ng'ambo ya ziwa Victoria ?
Au mie ndiyo sijakuelewa vizuri
 
Hao wamekalia uchawi na ngoma.
 
Umeona ee
Yaani mahali palipo na mchaga tu maendeleo hayakosekani, kilimanjaro ni mkoa mdogo lakini ni mkoa wa pili kwa watu wake kuishi maisha Bora baada ya dar(kwa mujibu wa serikali)
Pia ni mkoa wenye sekondar nyingi Tanzania,je tungekuwa mkoa mkubwa kama mwanza/kagera nk si tungekuwa kama ulaya kabisa? GOD BLESS US
 
Yaani Tanzania tupo miwatu bado inashabikia watu wenye kupenda mediocrity kama Jaffo!

Sijui lini tunaweza vitu vya maana!
Ndio Rais wenu 2025 mtake msitake Waukae yupo Juu Yombo Lukinga Oyeeeeeee
 
Geita imezungukwa na madini lakini ajabu kuna miji haina umeme..umeme umekuja mwaka huu april🀣!acheni wachaga waitwe wachaga !kuna areas zina mijidhahabu lakini huoni hat mjengo wa maana..!lols!aibu hii!

Ila watu wa madini huwa wanasumbua.. wangekuwa ni wa kufanya heavy investments huo mji ungebadilika ila ubaya wengi wanaofanya hizo issues haswa wadogo bado elimu ya biashara ni mtihani. Kuhusu maeneo ya madini kutokuwa na maendeleo ni janga la kitaifa
 
Wacha waendelee kutuonea wivu Sisi tunazidi kupambana tu kujiongezea maendeleo,tunatikisa ndani na nje ya nchi,karibuni German
 


Nna shemeji yangu mchagaπŸ€”!kiukweli wachag acha tu .yaan hakai bure bure ..muda wote anachekecha akili .na hapo ana hela had anaumwa!
Mkoa wa Mwanza una baraka na fursa mob lakini duh...anywsy!
 

Mikoa ya ndugu zetu kabila kubwa ni tatizo kiasi. Ni watu hardworking sana ila naona kama wanatumia nguvu zaidi kuliko maarifa na labda kwa nguvu ya kusoma waliyonayo kwa sasa,pengine itawasaidia plus exposure
 
Hatudanganyiki uchaguzi ni batili tumejitoa. Mmeshinda kwa kishindo 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…