Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Umeongea kwa uchungu sana .. Shemeji i hope haijui ID yako [emoji4][emoji4]
Inshort bongo hii tulitakiwa tujifunze kwa makabila yaliyofanikiwa na sio kuyachukia. Kama hapo Geita ni kweli, unakuta mtu ana ng'ombe wengi na anatengeneza pesa ndefu ila nyumba ni kituko. Kuna mikoa umeme wa REA umekuta tayari systems zipo maana wazawa waliwekeza wenyewe. Kuna sehemu ukienda private schools hadi vijijini na wanaosomesha ni wakulima ila matokeo ya kitaifa wakifanya vizuri, unaona hate tu kuwa walipendelewa na wakoloni daahh
Hahahaa kuna mikoa km kuna wachungaji wa kuiombea basi huo uloutaja kwakweli uwekwe "Wakfu!yaan wafunge kavu siku60!hela ipo sana ila wenyeji walaaa!anakubali ww usiye mzawa umuajiri shambani kwake umlipe ujira mdogo 😞😞😞!
Akipata jioni Balimiiiiii