Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

Ulitaka tufanyeje? Nyie kipindi hicho si mlikuwa busy kucheza bao? Mkakataa elimu sasa maendeleo mngepateje? Chagas Wana spirit ya maendeleo acha wivu ,mchaga hata kama hajasoma unakuta Ana maendeleo makubwa ,kuzaliwa uchagani tu Ni degree ya maendeleo [emoji3][emoji3] karibu uchagani upate semina ekekezi
 
Mpe ukweli huyo hadi chuki zake ajionee aibu
 
Mikoa ya ndugu zetu kabila kubwa ni tatizo kiasi. Ni watu hardworking sana ila naona kama wanatumia nguvu zaidi kuliko maarifa na labda kwa nguvu ya kusoma waliyonayo kwa sasa,pengine itawasaidia plus exposure



Sure!hawatumii akili kbs..ila watabadilika..nimekutana na mchaga mmoja tu..bas naye anajuaga mm mchaga..!watachange tu !
 
Ndugu zangu tuliochagua maendeleo tuendelee kutembea kifua mbele kwani sisi tulichagua maendeleo hata kabla ya uhuru na kabla ya azimio la Arusha. Hivyo vishindo vya majirani havitatusumbua. Tuendelee kusaka maendeleo kila penye fursa.
Ameen Sisi maendeleo tu,wao waache waendelee kupiga majungu,pâle kimara tumewahamisha wote tumehamia tuangoma[emoji3][emoji3]
 


Ahaaha wakat nyie mnazichanga wenyewe kutwa ngomani..marakumtoa mwali..mara kumcheza mtot..eish!tunyosheeni tu kwakweli
 
Nna shemeji yangu mchaga[emoji848]!kiukweli wachag acha tu .yaan hakai bure bure ..muda wote anachekecha akili .na hapo ana hela had anaumwa!
Mkoa wa Mwanza una baraka na fursa mob lakini duh...anywsy!
Mchaga akipata milion anawaza kupata ya pili,akiwa na nyumba moja anawaza ya pili nk,Hawa ndugu zetu akiwa na laki mbili anawaza kuongeza mke alafu mwisho wa Siku anaanza kuona wivu
 
Mchaga akipata milion anawaza kupata ya pili,akiwa na nyumba moja anawaza ya pili nk,Hawa ndugu zetu akiwa na laki mbili anawaza kuongeza mke alafu mwisho wa Siku anaanza kuona wivu


Wananambia wanaoa wake wengi ili wawasaidie kulima..nikahoji..ukilima eka 2/ na wake zako hao wawili je unapata mavuno kias gan??anakuambia gunia 5🤣🤣 mitoto 22...unaishia kumuuliza ww ni timamu?
Anakuambia nazaa watoto wengi waje wawe wachunga ng'ombe .hiz sio stry sio za miaka ya nyuma..ndo wanaishi hvyo wajomba zangu!
 
Wewe mwanamke nini!!? Mbona ukiongea unachekacheka sana.. Au ndo siyo riziki
 
UKIONA MTU ANALETA SIASA ZA MAJIMBO KAMA HIVI NI DALILI ZA KUFILISIKA KIHOJA/KISIASA NI WA KUOGOPA KAMA UKOMA. JAFO KACHEMSHA SASA MNAMTAFUTIA PA KUEGEMEA ILI KUMTETEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…