Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

Wacha we ss mmekuja kufata nn kimazichana ila tuache hayo maana tunaitaji kura yako 2025 Twende na Mh Seleman Jafo Yombo Lukinga Moja...

..hudhani kuwa Sele atakuwa mzigo mkubwa kwa serikali ukizingatia ana wake watatu?

..serikali inaweza kulazimika kumpatia nyumba 9 pamoja na ulinzi ktk nyumba hizo.

..kijijini / "chato mpya" atakuwa na nyumba 3. Dodoma nyumba 3 za serikali. Dsm nyumba nyingine 3. Jumla nyumba 9, pamoja na ulinzi.

..na hata kimataifa viongozi wenzake watakuwa wanamuona kituko, sawa na mtu mwenye tamaduni za kale.

..nadhani Prof.Mbarawa ana kolifikeshen zaidi ya Jafo. Prof ana elimu ya mashariki na magharibi na pia ameshika nafasi zilezile alizopata kushika bwana mkubwa. Zaidi Prof ni Mznz atadumisha muungano.
 
Naona Jaffo kawa mhisani wa Nchi mpk kuleta maendeleo kwa bajet yake😂😂, 2020 twende na Jaffo piga chini magufuli hafai.
 
Mswati vp...
 
Acha kuhusisha watu wa Pwani na mambo ya kijinga wewe, ya Jafo muachie Jafo na wenzie..
 
Watu wa Pwani ni watu poa sana wasio na makuu na wenye upendo wa kweli kwa watu wote... Ni Pwani pekee ambako watu hawana ukabila bali huunganishwa na dini moja waliyojichagulia na kuiamini ISLAM..

Tanzania ni Taifa lililo na ukabila wa kinafiki uliojificha kwenye mioyo ya watu pasipo kuuonyesha, ipo siku huu ukabila utakuja hadharani na Tanzania itabaki vipande vipande na kuwa nchi zaidi ya tatu tofauti.. Ukabila upo Tanzania lakini hausemwi ni wa ndani sana, Mchaga nduguye ni Mchaga, Msukuma nduguye Msukuma, Mnyaki nduguye ni mnyaki, mmeru nduguye ni mmeru mengine ni unafiki tu tunajifanya kuoleana lakini penye dili mchaga humtonya mchaga, mpare na mpare tuache unafiki..Zipo taasisi kuna makabila yakikaa basi full kuvutana hili liko wazi...

Wema, hofu ya Mungu na mahubiri ya imani waliyoiamini ndio vimewaponza watu wa Pwani. Historia iko wazi watu walikaribishwa Pwani wakapewa maeneo bure, Wazee wa Pwani wakajitolea mali na hali kuikomboa nchi na kuidhamini Tanu huku wengine wakibaki makuwadi wa wakoloni kupitia umissionary (sorry for this lakini ndio ukweli) mpaka leo bado sio watanzania kwa maana ya uhalisia wa Tanzania kwanza..(tuiashie hapa, historia ya TZ imebeba mengi yasiyowazi na ukweli mwingi umefichwa)..

Kuamini kwenye Usawa na maendeleo yenye uwiano na kutoiishi dunia kumewafanya leo hii watu wa Pwani kuonekana wajinga, wavivu, wasioweza kitu.. Ujangili, wizi, kudhulumu, uchawi, unafiki, ufisadi, kutesa masikini, unyang'anyi na kila aina ya umafia eti ndio utafutaji..hahahaha
 
Marehemu Mzee wetu JKN anafahamu nini maana ya uswahili kuliko leo hii unavyotafsiliwa, ukiisoma historia ya uhuru na harakati za JKN akiwa Pwani basi utaelewa waswahili au watu wa Pwani ni watu wa aina gani..

Waliofika Pwani ya Bagamoyo, Kilwa na Mzizima wanafahamu vizuri Pwani ilikuwaje na kwanini leo hii iko hivi, ( unafiki ukiachwa basi watu wengi watajifunza kitu hapa).. Maisha walioishi watu wa Pwani zama zile yangeigwa basi leo hii Watanzania wengi wangekuwa matajiri wakutupwa na Tanzania ingekuwa one of the civilized country..

Acheni kuchanganya Uarabu na waswahili wa Pwani ya EA, Muarabu aliikuta Pwani ya EA na watu wake wakiishi maisha mazuri ( hili halisemwi in detail, somebody should research here)... Muarabu alianza kufanya biashara na watu wa Pwani, maana aliwakuta tayari ni watu na utajiri wao...(hakuna mahala Muarabu aliwakuta watu Pwani wako uchi kama huko interior) ...UZI MAALUMU KUFUNGUA BONGO ZA WATU UNAHITAJIKA..
 
Wacha we ss mmekuja kufata nn kimazichana ila tuache hayo maana tunaitaji kura yako 2025 Twende na Mh Seleman Jafo Yombo Lukinga Moja...
Tumekuja kufuata Nini? Si tunawekeza nchi nzima? Huonagi wahindi wamejaa Africa nzima ?
Sisi ukiwa na milion 1 unawaza kupata ya 2 kwahyo ndio maana tupo nchi nzima na duniani
 
Kila Mtu akiwa na Mali kadhulumu/kanyang'anya?
Acheni kucheza ngoma wekezeni kwenye elimu ohooo mtabaki maskini hivyo hivyo ,tumenunua maeneo karibu yote tunazidi kuwasukuma huko kusarawe
 
Sisi tunawekeza nyumban na ugenini,sio kwamba hatuwekezi sehemu nyingine
Ulishaenda eneo gani Tanzânia ukamkosa mangi?
 
Kila Mtu akiwa na Mali kadhulumu/kanyang'anya?
Acheni kucheza ngoma wekezeni kwenye elimu ohooo mtabaki maskini hivyo hivyo ,tumenunua maeneo karibu yote tunazidi kuwasukuma huko kusarawe

Kila mtu ana Maisha yake aliyoyachagua, umechagua kuwa tajiri kwa namna yeyote na mwingine amechagua kuishi kiasi kwa namna inayowezekana..
 
Kila Mtu akiwa na Mali kadhulumu/kanyang'anya?
Acheni kucheza ngoma wekezeni kwenye elimu ohooo mtabaki maskini hivyo hivyo ,tumenunua maeneo karibu yote tunazidi kuwasukuma huko kusarawe

Nionyeshe bepari tajiri ambaye hajadhulumu wengine wala kunyang'anya wengine...kudhulumu au kunyan'anya sio lazima iwe hela hata fursa pia..
 
Hivi Jafo wenu amefanya nn cha maana kuvuruga uchaguzi?
 
Usichukulie rahisi hivyo!utajiri wa madini ni wa damu na ndumba.Usishsngae kuona hali hiyo Geita.Uzuri hata wewe unaweza kwenda kujaribu ili uone muziki wake
 
Usichukulie rahisi hivyo!utajiri wa madini ni wa damu na ndumba.Usishsngae kuona hali hiyo Geita.Uzuri hata wewe unaweza kwenda kujaribu ili uone muziki wake


Weee!kweli eh!kwahyo ndumba its a mus🤔🤔! Bas sikua najua .hapana mie naogopa! Huo mziki mm siuwez...
ruby garnet na ww unatumia ndumba kumbe🤣😒😒😒😒
 
Sisi tunawekeza nyumban na ugenini,sio kwamba hatuwekezi sehemu nyingine
Ulishaenda eneo gani Tanzânia ukamkosa mangi?
sehemu moja kuwa na watu wa aina moja na sio wa sehemu nyingine sio advantage ni disadvantage, hata mifugo hybrid ina nguvu kuliko non hybrid...

Pia hapa siangali watu as a group bali as an individual.., wewe uliyewekeza huko popote basi ni kwenu.., sio mangi sababu tu amezaliwa Moshi ajione ana mandate kumzidi hata yule mkara ambaye amekaa maisha yake yote moshi na anamiliki duka na familia yake ipo pale, wakati mangi hana hata genge huko...
 
Nionyeshe bepari tajiri ambaye hajadhulumu wengine wala kunyang'anya wengine...kudhulumu au kunyan'anya sio lazima iwe hela hata fursa pia..
Sasa kama ukishindwa kutumia fursa wengine si wanatumia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…