Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

Basi mtuache na maisha yetu. Ndo maana Sisi wa kaskazini hatunaga na tabia ya kuwa semasema nyie wa pwani manake nyie ndo mnaotuuzia viwanja na mashamba huku mjini na ndo ma baba wenye nyumba tunapanga kwenye nyumba zenu tunaweka na duka faida tunajenga kwetu shida iko wapi ni mgawanyo wa kazi kila mtu anamfaidi mwenzake ila nyie mnalalamika as if mmepunjika kumbe labda huwa hamna mipango endelevu kwa ile hela mnayopata
 
Chuki yenu kwa Wachaga haiwezi kumaliza shida zenu wala haiwezi kuwapunguzia wao kile walicho nacho.
 
Kwani Jafo anatoa pesa yake au ni pesa zetu walipa kodi? Halafu ninyi Wazaramo hamjakaribisha makabila mengine kujazana Dar bali udhaifu wenu wa kutokupenda kufanya kazi na kukalia kucheza bao ndo kuliwafanya na kutaendelea kuwafanya makabila mengine yaone hiyo ni fursa na wanaitendea haki. Endeleeni kumsifia Mzaramo mmoja huyo aliyetuharibia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,nadhani tangu Tanganyika (Japo wewe unasema toka Tanzania ipate Uhuru, Tanzania haikuwahi kutawaliwa mjomba) ipate Uhuru hakuna Waziri wa TAMISEMI aliyeharibu uchaguzi kama Jafo.
 
Hahaha
 
Hahahaha
 
Mazingira magumu hasa uhaba wa ardhi uliwanya wachaga wajiongeze.
Pwani hapakuwa na mazingira magumu. Ardhi tele bahar, biashara nk. Vyote vilikuwepo. Ni kawaida kwenye miti hakuna wajenzi.
Hii ipo pia Afrika ukilinganisha na Ulaya au hata kusini mwa jangwa la sahara ukilinganisha na kaskazini.
Watu wakitumia elimu kukabiliana na changomoto za maisha wanatoka.
Baadhi ya jamii ni wagumu kubadilika.
Tusiendekeze mawazo ya ukabila maana wale waliondelea ni chachu kwa walioko nyuma. Afrika hata sasa inafaidika kutoka kaskazini.
Bila Shaka unawashwa na WACHAGA na bado
Umaskini sio sifa ni ujinga
 
Basi ajitahidi maana miaka 4 umeme umefika msanga tu. Vipi Yombo na Chole na Vikumburu
 
Jaffo kapeleka maendeleo? He is just a mere herald! In MTU was kupeleka message. Maendeleo hayawezi kuletwa na MTU mmoja
 
Ukanda mbaya sana , usimpende kiongozi kwavile tu ametokea kwenye jimbo lako. Kama hafai tumwambie ukweli . Kiongozi yoyote wa kitaifa wanawawakilisha wananchi wote kwaijumla na sio kutugawa wananchi wao. Tuache kujipendekeza kwa viongozi kumbukeni wengine ni mende shauri yenu ninyi wanaume wa pwani kwa kutaka vya dezo.
 
Yaap,tunazidi kusonga mbele
Kilimanjaro pamoja na kuwa ni ka mkoa kadogo lkn kanaburuza ma mikoa makubwa kimaendeleo
Mfano kwa mujibu wa takwimu za serikali,90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora Ni mkoa wa pili baada ya dar
Pia kwa shule za sekondar na advance,Ni mkoa unaoongoza kwa idadi kubwa ya shule
Karibu kilimanjaro
 
Angalia hiyo List ya takwimu mikoa tajiri alafu uulize mikoani ya Pwani na Dar es salaam iko nafasi ya ngapi.
 
Mwanza ni kubwa? Hujui Mwanza ni mkoa wa pili kwa udogo baada ya Dar?
 
Tutokee hapa, yani vinafasi vya kuagizwa tu apendelee kwao kitu gani! Kuchemka kote uchaguzi wa serikali za mitaaa bado mnasifia! Mitanzania bure kabisa!
 
Ukirudi Geita kina Ngosha watakunyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…