Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kutoka kitabu desturi za wasuaheli (Waswahili)
Iwapo kijana mboo yake ndogo, huzungumza kwa mganga — ya kama: "mimi Uume wangu mdogo, vijana wanawake wananicheka. " mganga hujibu: "nipe mchele wangu, nikufanyie dawa, itakuwa kiasi utakacho."
Wakesha patana, kufuatana kwenda shamba kutafuta miegea, ambao ndiyo kwanza unazaa. Nayo miegea matunda yake marefu, nayo manene, wala hayaliwi. Wakiupata, hukaa chini wote wawili. Yule mganga hushika wembe kumchanja, humwuliza : "unataka ukubwa upi, morta au shubiri?"
Husema: "nataka shubiri." Atamchanja kisha achanje na lile yegea, atatwaa utomvu wa yegea, na damu ya uume achanganye pamoja. Kisha atamwambia: "litezame sana hili yegea, muda wa siku saba uje ulikate hili yegea, sababu usipolikata — uume wako utazidi kuwa mrefu mno." Baada ya siku saba huenda akalikata.