Hao kaja nao we usitujumuishe kwenye upuuzi huu!Katika tukio la ovyo ni hili lakuambiwa washa tochi mchana halafu mnawasha kweli hii nature ya watu wa Sengerema manzingua sana mnawasha tochi mchana huu kweli au ni usiku huko Mwanza?.
Oky Byee..!!!!!