Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini kuna watu wao huko .
Kwamba captain Tesha sio lofoten kwao asleep
Maandamana ni haki yetu ya kikatiiba na hakuna wakutuzuia wananchi tunahitaji mabadiliko. Tumechoshwa na dhuluma za wazi hatuna uhuru wakusema hadharani kuhusu msitakabali wa taifa letu tunalazimishwa kusifia tu kwamba tusifie utekaji, utumiaji wa fedha za umma kwa maslahi yao na familiar zao binafsi tukisema tunauawa .