Watu wa Tabora leo mmenifanya nitembee usiku kucha

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Kuanzia jana jioni nilianza kuona maruweruwe (halucinations) na muda mwingine nasikia watu wanatembea nikiwa nimekaa, ila nikigeuka siwaoni. Nikachukulia poa. Usiku nimekunywa maji ya moto yenye tangawizi ili walau nipate usingizi, ila na penyewe ikawa holaa. Kuna nyakati nasikia mtu anavuta miguu yangu, nikiinyanyua juu nasikia watu wanacheka... dah, watu wa Tabora 😁😁
 
Kapime malaria mkuu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…