Hivi mtu unakerwa vipi na tamaduni za wengine, wao wako sawa iweje wewe uumie???Tanga hili kabila, mjini Tanga, Achaneni na vitu vya kijima. Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili. Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage.
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Tamaduni nyingine ni mzigo kwa jamii husika.Hivi mtu unakerwa vipi na tamaduni za wengine, wao wako sawa iweje wewe uumie???
Hao wenye elimu inayoendana na wakati uliopo si ndio hao hao kila siku humu mnawalalamikia kua wanakula rushwa,wezi,wanahujumu uchumi,wavivu kwenye maeneo ya kazi,hawawajibiki,hao wenye elimu inayoendana na wakati wamefanya kipi cha utofauti? si ndio nyie hua mnalalamika kila siku humu kua tunaagiza mpaka Toothpick kutoka China?Tamaduni nyingine ni mzigo kwa jamii husika.
Mf. Kutokuwapa watoto elimu inyoendana na wakati uliopo.
Kuzaa na kuterekeza watoto ni tamaduni za watu wa pwani. Huu ni mzigo kwa jamii na TaifaTamaduni nyingine ni mzigo kwa jamii husika.
Mf. Kutokuwapa watoto elimu inyoendana na wakati uliopo.
Hehehe Hapo Umepiga kwenye mshono ndugu😂😂Hao wenye elimu inayoendana na wakati uliopo si ndio hao hao kila siku humu mnawalalamikia kua wanakula rushwa,wezi,wanahujumu uchumi,wavivu kwenye maeneo ya kazi,hawawajibiki,hao wenye elimu inayoendana na wakati wamefanya kipi cha utofauti? si ndio nyie hua mnalalamika kila siku humu kua tunaagiza mpaka Toothpick kutoka China?
Watu huwa mna-complicate sana maisha. Kati ya vitu ninavyowaonea wivu Waislamu na wenye tamaduni hizi unazozilalamikia ni urahisi wao katika mambo ya msingi kama ndoa na kifo. Huhitaji mamilioni ndiyo uti utoe mahari na kufanya liharusi likubwa lisilo na mantiki kisa tu uwaonyeshe watu.
Ukifa leo asubuhi mchana saa saba ushazikwa - hakuna michango ya jeneza la bei mbaya, sare za wanakwaya, mashada ya maua, mahotuba marefu ya kinafiki kutoka kwa mitume na manabii feki na upumbavu mwingine. Simple life yaani dah!
Hawa wagalatia wana chuki za kipumbavu sana,lengo kuu la mleta mada ni hiyo namba 2Watu huwa mna-complicate sana maisha. Kati ya vitu ninavyowaonea wivu Waislamu na wenye tamaduni hizi unazozilalamikia ni urahisi wao katika mambo ya msingi kama ndoa na kifo. Huhitaji mamilioni ndiyo uti utoe mahari na kufanya liharusi likubwa lisilo na mantiki kisa tu uwaonyeshe watu.
Ukifa leo asubuhi mchana saa saba ushazikwa - hakuna michango ya jeneza la bei mbaya, sare za wanakwaya, mashada ya maua, mahotuba marefu ya kinafiki kutoka kwa mitume na manabii feki na upumbavu mwingine. Simple life yaani dah!
Zanzibar ipi acha uongo, nenda kajionee maisha bora ya kila MzanzibarSame tu Zanzibar kuko nyuma sana kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
Wewe una elimu gani, na watoto wako una mpango gani nao juu ya elimu yao.Hao wenye elimu inayoendana na wakati uliopo si ndio hao hao kila siku humu mnawalalamikia kua wanakula rushwa,wezi,wanahujumu uchumi,wavivu kwenye maeneo ya kazi,hawawajibiki,hao wenye elimu inayoendana na wakati wamefanya kipi cha utofauti? si ndio nyie hua mnalalamika kila siku humu kua tunaagiza mpaka Toothpick kutoka China?
Unataka kusema watu Watanga woooote hakuna aliyesoma? ulishawahi kusikia kuna njaa kwenye huo mji? nyie someni mkaajiriwe huko huko kwenye mashamba ya WatangaTamaduni nyingine ni mzigo kwa jamii husika.
Mf. Kutokuwapa watoto elimu inayoendana na wakati uliopo.
Acha kukwepa maswali yangu,Wewe una elimu gani, na watoto wako una mpango gani nao juu ya elimu yao.
Naona unaandika kufurahisha genge!!.
Wizi na ubadhirifu ni hulka na makuzi ya mtu, haihusiani na kuwa au kutokuwa na elimu.
SawaAcha kukwepa maswali yangu,
Jibu maswali yangu kwanza ndio tuendelee,
Hivi unajua maana ya Elimu? unaposema ''Wizi na ubadhirifu ni hulka na makuzi ya mtu'' hujui kua hayo pia ni matokeo ya elimu ya malezi mabovu? au umekariri kua Elimu inapatikana darasani tu?
Unaposema unaona kua naandika ili kufurahisha genge unathibitisha jinsi ulivyo empty upstairs na uwezo wako mdogo wakufikiri,mtu mwenye hekima na akili hawezi kuwaza ujinga unaouwaza wewe dhidi ya mchangiaji wa mada husika.
Nyie wazungu waliwachia utajiri gani?Waarabu waliwaachia laana ya umasikini