Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Tanga sio ya Kobaz tu, Wagalatia wamejaa Tanga.
Ila huyu mzee kaisema kwa kusukumwa na chuki za kidini. Ile namba 2 aliyoiandika ndio inayomkereketa sasa. Baadhi ya hawa wajinga wanawachukia watu wa Pwani na kuwasakama kwa sababu ya Uislam.