Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

Haikujengwa na locals vipi?..mimi Babu yangu alitoka tabora kwenda tanga 1955,na alikuta mji mkubwa tu kuliko tabora kuliko mji wowote tz,kasoro dar may be imagine mzee wangu sekondari usagara akitoka kwao ni 7-8km toka kwao
Na mote kuna nyumba za wadigo na wanyamwezi
Duh hauelewi mimacho maanisha naona tuishie hapa
 
Nyie wazungu waliwachia utajiri gani?

Ingekua wazungu waliwaachia utajiri msingekua mnahangaika mpaka leo kuuziana udongo,chumvi,mafuta na maji ya upako ili muwe matajiri bila kufanya kazi.
Bila kusahau waarabu waliwaachia ilmu ya uchawi na kufuga majini.
 
Nyie wazungu waliwachia utajiri gani?

Ingekua wazungu waliwaachia utajiri msingekua mnahangaika mpaka leo kuuziana udongo,chumvi,mafuta na maji ya upako ili muwe matajiri bila kufanya kazi.
Mabwana zako waarabu wakiguswa lazima uje kukata mauno kuwatetea.
 
Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima

Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.

Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage

1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Hapo kwenye Elimu, hivi ni kweli kuwa huko 'Tanga' hakuna Serikali ya kusimamia au kuhamasisha elimu ya kukuza uchumi, kupunguza umasikini na kuleta maendeleo?
 

Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 15
Zanzibar ipi acha uongo, nenda kajionee maisha bora ya kila Mzanzibar
maisha ya zanzibar hayanausawa, usawa uko kwa mbali sana kule kuona maskini sana na tajiri sana ni kawaida tofauti na watu wa kanda ya ziwa. Yaani iko hivi maskini zanzibar kujenga ni gumu tofauti na maskini akiwa bara atajenga?
 
Hivi vigodoro na visherehe vya kijinga kijinga ndio vinaongoza kuzalisha vijana machoko na watoto wa mitaani jamii ikemee huu upuuzi
Hapo kweli kuzalisha uhuni na umalaya tu hakuna faida kabisa, naunga mkono hoja mkuu?
 
Katika watu wanakula maisha hapa nchini na hawana stress licha ya umaskini wao ni wazaramo na watu wa ukanda wa pwani, Tanga, Lindi na Mtwara.

Ni mwendo wa vigoma, harusi, kufunda mabinti, arobaini za watoto, singeli. January to December.
 
Wengine wote wanatamaduni bora mno kiasi kwamba wameendelea kuliko watu wa Pwani na Zanzibar mpaka mnawasakama watu wa Pwani na Zanzibar? Kama sio chuki za kidini na ukabila wa kijinga ni nini?!
Sio ukabila wa udini ila mila na tamaduni tunazoona hazifai zinatakiwa kumewa na kupinga hazifai na zinaleta utegemezi kwa mfano ukienda kibiti rufiji mpaka lindi utakuta vitoto vidogo vikimaliza tu drs la 7 vinazalishwa vinakua single mother ww unaona hyo ni sawa?
 
Back
Top Bottom