Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima

Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.

Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage

1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Mkuu punguza wivu.
 
Samaki mkubwa ndio nini Mr

Samaki mkubwa Niko nini Mr
 
Duuh hizi mbona kama ni hasira. Sometimes maisha Yanakuwa rahisi pale unapoachana na mambo ya watu, kama ni tamaduni zao na hazikuharibii wewe au taifa basi achana nazo...

Binafsi siwezi kujitia umuhimu kwenye maisha ya watu, nashukuru nimetembea sehemu nyingi na kukutana na tamaduni nyingi lakini mdomo Una gundi, mambo mengine ni kuachana nayo na mambo ya aina kama hayo ndo anayopiga kelele mtu kama Trump kuwa kuna watu wametoka mataifa Yao na kwenda marekani huku wakitaka kubadilsha mambo waliyoyakuta ambayo hayawahusu na wala hawajaombwa ushauri.
 
Wale 95% ya wanawake wa tanga wanatoa ndogo au tigO unayebsha we bsha tu.
 
Sehemu mwarabu alipotawala ndio ugoro anaowaachia waliomkubali. Umesahau kufuga majini a.k.a ngombe za mwarabu, uchawi , uchafu na majungu
Uvivu sio dini bali ni tamaduni za watu Waislamu wachapa kazi vizuri tu ila ukanda wa pwani uvivu ni tamaduni yangu hata ukimkuta mkristo wa asili ya pwani kama wakwere wa chalinze,lugoba,msata,magindu, matuli, ngerengere ni wavivu amoja na kwamba ni wakristo..
 
Sio ukabila wa udini ila mila na tamaduni tunazoona hazifai zinatakiwa kumewa na kupinga hazifai na zinaleta utegemezi kwa mfano ukienda kibiti rufiji mpaka lindi utakuta vitoto vidogo vikimaliza tu drs la 7 vinazalishwa vinakua single mother ww unaona hyo ni sawa?

Kwahiyo wengine wote wasiokuwa ulipopataja wana tamaduni bora zaidi na hawana hayo unayoyasema? Kwanini unahusisha hizo tabia na mikoa ya Pwani? Kwanini unawatolea mfano watu wa Pwani? Hizo tabia hapa Tanzania ni hususan kwao? Na huo utegemezi uko Pwani tu sio?

Msifiche chuki zenu za kidini na ukabila wa kijinga dhidi ya watu wa Pwani mkajifanya werevu sana eti mnakemea na kupinga mila na tamaduni zisizofaa na kujifanya mnakusudia kutengeneza. Sisi sio wajinga wa kushindwa kugundua chuki zenu mnazozificha nyuma ya ujuaji wenu.
 
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
Suala la kuoa mimi sioni kama kuna ulazima wa mambo kuwa mengi kama unavyotaka. Nakumbuka mimi shughuli nzima ya kuoa ilichukua kama masaa mawili hivi. Tilifika nyumbani kwa wakwe na mzigo tuliyopangiwa kutoa kama mahari, tukakabidhi pamoja na maongezi kidogo tukaondoka na mke. Sijawahi kufanya sherehe ya harusi wala kusaini document yoyote
 
Hawa wagalatia wana chuki za kipumbavu sana,lengo kuu la mleta mada ni hiyo namba 2
Never, never never. Naishi nao , ni marafiki zangu, tumeoa kwo na wao wanakiri udhaifi wa mila zao! Werevu wanakataa kuwapeleka watoto wao madrasa! Wanasema tutatafuta namna nyingine ya kuwapa elimu ya dini
 
Kwani ni dini Gani inasema ndoa au msiba lazima uwe wa gharama.

Ubaya mnaishi dar mnadhani nchi nzima Ina hiyo misiba ya gharama.

Nenda mikoani au vijijini uone watu hata sanda wanakosa mtu akifa. Halafu uone kama wana hizo gharama.
Watu huwa mna-complicate sana maisha. Kati ya vitu ninavyowaonea wivu Waislamu na wenye tamaduni hizi unazozilalamikia ni urahisi wao katika mambo ya msingi kama ndoa na kifo. Huhitaji mamilioni ndiyo eti utoe mahari na kufanya liharusi likubwa lisilo na mantiki kisa tu uwaonyeshe watu.

Ukifa leo asubuhi mchana saa saba ushazikwa - hakuna michango ya jeneza la bei mbaya, sare za wanakwaya, mashada ya maua, mahotuba marefu ya kinafiki kutoka kwa mitume na manabii feki na upumbavu mwingine. Simple life yaani dah!
wawa
 
Tanga kumeshindikana kuna mama kafanya sherehe kubwa ya talaka akiita Talaka Nginjanginja.
Watu wamekula pilau na bia za kutosha full kuzungusha viuono

Bi zainab Kombo anasema hiyo ilikuwa Ndoa yake ya 3 na ana watoto wanne. Ametrend kwa Shughuli pambe ya Talaka nginjanginja.
 
Huku pemba watu ni wavivu balaa,muda wote wako chini ya miembe tu wamelala kwenye mikeka,kazi yao kuu ni kujisifia tu kuwa mara amii yangu yuko Oman mara waseme wao ni waarabu sio waafrica
 
Uvivu sio dini bali ni tamaduni za watu Waislamu wachapa kazi vizuri tu ila ukanda wa pwani uvivu ni tamaduni yangu hata ukimkuta mkristo wa asili ya pwani kama wakwere wa chalinze,lugoba,msata,magindu, matuli, ngerengere ni wavivu amoja na kwamba ni wakristo..
Sio kwamba ni wavivu bali wako taratibu/slow ukilinganisha na watu wa bara, matarajio yao katika maisha pia yako chini ukilinganisha na watu wa bara.
 
Never, never never. Naishi nao , ni marafiki zangu, tumeoa kwo na wao wanakiri udhaifi wa mila zao! Werevu wanakataa kuwapeleka watoto wao madrasa! Wanasema tutatafuta namna nyingine ya kuwapa elimu ya dini

Punguza ujuaji wewe mzee. Na achana na maisha ya watu. Actually waache Waislam na Dini yao. Mbaya zaidi mtu sio Muislam na tena huupendi Uislam wala Waislam halafu mdomo mdomo mwiiiingi eti unashauri. Baki na ukafiri wako waache Waislam na Dini yao kama huipendi na hutaki kuifuata.

Mtu chuki tu imekujaa, eti Watu wa Tanga badilikeni, utadhani ni mtu wa nasaha kweli, kumbe chuki tu dhidi ya Uislam na Waislam ambazo huwezi hata kuzificha kwa jinsi zilivyokuelemea.
 
Tanga sio ya Kobaz tu, Wagalatia wamejaa Tanga.
 
Back
Top Bottom