Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Tamaduni nyingine ni mzigo kwa jamii husika.
Mf. Kutokuwapa watoto elimu inayoendana na wakati uliopo.
Nyinyi hizo elimu zenu zimewabadilishia nini kikubwa katika maisha yenu hapa Tanzania? Mmevumbua nini kikubwa? Mmebadilisha nini?
Mna stress tu za kijinga mnazommalizia Mama Samia mkiamini ndio kakuleteeni matatizo yenu yote na kuingilia mambo ya watu yasiyowahusu.