Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

Tamaduni nyingine ni mzigo kwa jamii husika.
Mf. Kutokuwapa watoto elimu inayoendana na wakati uliopo.



Nyinyi hizo elimu zenu zimewabadilishia nini kikubwa katika maisha yenu hapa Tanzania? Mmevumbua nini kikubwa? Mmebadilisha nini?

Mna stress tu za kijinga mnazommalizia Mama Samia mkiamini ndio kakuleteeni matatizo yenu yote na kuingilia mambo ya watu yasiyowahusu.
 


Unakwenda kwa watu hutulizi akili, kufuatilia tu mambo ya watu. Wewe kwenu ulipotoka kuna nini kikuuuubwa sana katika maisha ya Dunia kikawazidi watu wengine wote? Hiyo elimu yako hata kutengeneza vijiti vya kuchokonolea meno huwezi. Kazi kumalizia watu stress Jf tu.


Fanya mambo yako.


By the way siungi mkono vigodoro na mambo mengine ya haramu yawe yanafanywa na watu wa Tanga, watu wa kwetu au wengineo wowote wale. Ila acha chuki na watu wa Pwani na Waislam.
 



Halafu hiko kichwa cha habari chako hiyo "badirikeni" unamuambia nani? Mtu mzima na shule yote uliyokwenda bado unachanganya L na R katika uandishi. Halafu ujuaji mwingiiiiiiii.
 
Achana na Ndoa na Kifo.

Swala la kuzingatia Elimu na Kufanya kazi lazima tusanuane, mikoa mingi ya pwani iko nyuma sana.

Same tu Zanzibar kuko nyuma sana kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja.


Wengine hapa Tanzania wana nini cha zaidi katika maisha ya Dunia kuwazidi mikoa mingi ya Pwani na Zanzibar?


Watu wa Pwani wako nyuma kuzingatia Elimu (nadhani unamaanisha ya sekula), walio mbele zaidi wamebadilisha nini kikubwa kwenye maisha ya Dunia hapa Tanzania? Halafu mbona hayo mambo ya elimu ya sekula hiyo mikoa sasa hivi wanasoma sana tu, kama wanavyosoma wengine hiyo sekula. Wanasoma katika hiyo sekula yenye manufaa na yasiyo na manufaa pia kama wengine. Na wao pia hawawezi kutengeneza hata toothpick kama wengine ikiwemo wewe. So kuna haja ya kuwasakama? Una nini wewe cha kuwasakama watu wa Pwani?

Kuhusu kufanya kazi, huwa wanakuja kukuomba hela ya kula au matumizi?

Zanzibar iko nyuma sana kwa maendeleo (ya kidunia) ya mtu mmoja mmoja kwa kuilinganisha na wapi hapa Tanzania? Tuilinganishe tuone sehemu gani ina maendeleo saaaaaaana ya kidunia ya mtu mmoja mmoja inayokufanya uwasakame wazanzibari.
 
Nyie wazungu waliwachia utajiri gani?

Ingekua wazungu waliwaachia utajiri msingekua mnahangaika mpaka leo kuuziana udongo,chumvi,mafuta na maji ya upako ili muwe matajiri bila kufanya kazi.
Wanaouziwa udogo uje uchunguze vizuri ni watu kutoka zanzibar, kusini na tabora na viunga vya pwani huko ndio wanasumburiwa na uchawi
 
Huwa naamka saa 11 asubuhi narudi nyumbani saa 4 hadi 5 usiku,hekaheka za kila namna mjini Dar, ila nikienda Tanga huwa napata utulivu wa nafsi sna ile slow life,utulivu,upendo na namna wanavyo ishi maisha yao bila pressure najisemea tu kimoyo moyo haya ndio maisha basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…