Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Yaani hiyo ni takataka balaa.
Kuna kipindi walikuwa wanagawa kwenye tashriff ilibidi kila nikipanda hilo basi naingia na maji yangu.

Wana maji yao fulani ivi yako muheza utafikiri yameyengenezwa kwa mitambo ya gongo.
Kweli tanga kunani.
Duh

Bro,omba samahani haraka sana!!!
maana si kwa maneno haya
Buhhhhhhh
 
Pole jaman ungekua unanunua tu uipendayo
Yaani hiyo ni takataka balaa.
Kuna kipindi walikuwa wanagawa kwenye tashriff ilibidi kila nikipanda hilo basi naingia na maji yangu.

Wana maji yao fulani ivi yako muheza utafikiri yametengenezwa kwa mitambo ya gongo.
Kweli tanga kunani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…