Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Ndio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.
43065814_2039013272831871_4673711184612713990_n.jpg

#tusichekanekuulizasioujinga#
 
Yaani hiyo ni takataka balaa.
Kuna kipindi walikuwa wanagawa kwenye tashriff ilibidi kila nikipanda hilo basi naingia na maji yangu.

Wana maji yao fulani ivi yako muheza utafikiri yameyengenezwa kwa mitambo ya gongo.
Kweli tanga kunani.
Duh

Bro,omba samahani haraka sana!!!
maana si kwa maneno haya
Buhhhhhhh
 
Pole jaman ungekua unanunua tu uipendayo
Yaani hiyo ni takataka balaa.
Kuna kipindi walikuwa wanagawa kwenye tashriff ilibidi kila nikipanda hilo basi naingia na maji yangu.

Wana maji yao fulani ivi yako muheza utafikiri yametengenezwa kwa mitambo ya gongo.
Kweli tanga kunani.
 
Back
Top Bottom