Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tam sana hasa ile ya maji ina taste kama maji ya marashi upate ya baridi vile inashuka kwenye koo wenyewe twaita helto
Ndio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.View attachment 945991
#tusichekanekuulizasioujinga#
me naipenda sana taste ake na kale kaharufu hasa nipate ya chupa sio hizi take awayHiyo radha kama maji ya marashi ndo huwa inanishinda.
Wenyewe ndo soda zenu
Nikiambiwa nichague hii na fanta orange bora fanta kwakweli.me naipenda sana taste ake na kale kaharufu hasa nipate ya chupa sio hizi take away
mimi nilikua napenda zile azam malt sku hizi sizion huku nikahamia fursana tena nipate lile kopo kubwa nayo sizioni nikahamia novida sukari ikanishinda nikabaki helto ya taste hiyoNikiambiwa nichague hii na fanta orange bora fanta kwakweli.
Kale ka radha ndo huwa hakanibariki
Ahsante Madame, uwe na usiku mwema mtoto wa kitangaPole jaman ungekua unanunua tu uipendayo
na kwako piaa, karib sanaAhsante Madame, uwe na usiku mwema mtoto wa kitanga
Yaani naona kama tunafanana.mimi nilikua napenda zile azam malt sku hizi sizion huku nikahamia fursana tena nipate lile kopo kubwa nayo sizioni nikahamia novida sukari ikanishinda nikabaki helto ya taste hiyo
hahaha asanteeYaani naona kama tunafanana.
Azam malt ndo ilikuwa kinywaji changu,fursana dar zipo kibao sema siku hizi nimehamia kwenye pepsi.
Novida sijawahi ipenda.
Ila hongera kwa kupenda kinywaji cha kwenu
Asante mlimbwendena kwako piaa, karib sana
Duh mbona ipo zaman hivyo ila imeshindwa kutakeover jiji la dar na mikoa mingine?Hii soda imenikumbusha mbali Sana, Miaka ya 80 wakati huo nasoma Jumuiya sec, wakati wa mapumziko nilikuwa naenda barabara ya 8 kupata hii kitu......
Ni moja ya viwanda vichache vinavyoendelea Tanga. Enzi hizo Heltho na keki zinga la treatKiujumla kwasasa
Helto imechuja mno
Yaani wapo Kibiashara zaidi
Anjari/Heltho ya zamani,ilikuwa haiishi ladha mdomoni
lkn kwasasa,hapana.
Wamechemka kdg
Ni miaka yapata 10 sasa tangu iwe mara ya mwisho kunywa hiyo soda, lakini bado ladha yake ni ya kipekee... Itafute uonje ladha yake hutojutaNdio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.View attachment 945991
#tusichekanekuulizasioujinga#