Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Nikiambiwa nichague hii na fanta orange bora fanta kwakweli.
Kale ka radha ndo huwa hakanibariki
mimi nilikua napenda zile azam malt sku hizi sizion huku nikahamia fursana tena nipate lile kopo kubwa nayo sizioni nikahamia novida sukari ikanishinda nikabaki helto ya taste hiyo
 
..Hicho ndio kinywaji cha Tanga (Akina Bakhresa na MO Wanasubiri)....Hao Wahindi wameshindikana....(Mikanjuni, Makorola,Donge,Raskazone, Stand ya Zamani, Sahare na kwingineko wanalifahamu hilo)
 
mimi nilikua napenda zile azam malt sku hizi sizion huku nikahamia fursana tena nipate lile kopo kubwa nayo sizioni nikahamia novida sukari ikanishinda nikabaki helto ya taste hiyo
Yaani naona kama tunafanana.
Azam malt ndo ilikuwa kinywaji changu,fursana dar zipo kibao sema siku hizi nimehamia kwenye pepsi.
Novida sijawahi ipenda.
Ila hongera kwa kupenda kinywaji cha kwenu
 
Kwa Tz
Hakuna kama Tanga
tumetembea kiasi
Tanga utabaki mkoa bora kwa tz nzima

Ukikataa
Basi una chuki binafsi
Sema hawa majamaa,wameudhulumu huu Mkoa mno
Mola anawaona lkn
 
Back
Top Bottom